Si umesema unataka uachane na mpiraUhakika wa nini?
Leo starter sio kufungwa.Hawaamki bila starter
Mi bado nipo na ArgentinaBado dk 6 Argentina iamke..
Watoto si wameshindwa
Naona Ngoma ngumu kwa Argentina hii, hawana attempt hata 1 goliniHapa kimasihala masihala Argentina wakipata hata half chance na hasa ikimkuta mtu mfupi mechi inaweza ikaishia hapo.