Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,259
- 35,534
Bora Ushabikie Tembo Warriors na magongo yao watajikaza hawa watoto wa London sio rafiki kabisa.
Ubingwa tutakaochukua mwaka huu utakuwa mzuri sana kwetu...Sielewi ni kivipi Chelsea hajaungana na Spurs kwenye relegation kule. Tukisema timu mbovu tunaanzns kuambiwa Caicedo mzuri kuliko Rice
Na wakifungwa next week itakuwa ni hatatiHii lazima iwe memes ya dunia nzima 😂
Mzee anamnywa asenyonyo mdogo mdogo.Arsenal inachekesha kama sio timu yako.
View attachment 3571564
Mna 20mbwaKwahy yule mzee anawakunywa Arsenyembo kwenye kopo la maji au anamaanisha Arsenyembo labla mshinde kopo la maji? 😂
Intelligent businessman umemuona mzee wa busara?
Hilo neno tunapanua gap ,next week litakukosti jomba 🤔Arsenal ubingwa wetu upo wazi
Next week tunamkanda man city, tunapanua gap.
laZima na man city ata drop points.
Hii ndo league
Anyway: chelshit matako yenu
Mkuwa katika harakati za kupanua gap, angalieni msipanuliwe nyie.Arsenal ubingwa wetu upo wazi
Next week tunamkanda man city, tunapanua gap.
laZima na man city ata drop points.
Hii ndo league
Anyway: chelshit matako yenu
Anafungwa Chelsea analia ArtetaWanaoamini / kujua kuwa msimu huu EPL ni yetu gonga like hapa
Hii comment nitaifukua siku tunanyanyua NDOO
View attachment 3571266
Utajua mwnyw 😂Mna 20mbwa
Mnapanua au sio 😂Arsenal ubingwa wetu upo wazi
Next week tunamkanda man city, tunapanua gap.
laZima na man city ata drop points.
Hii ndo league
Anyway: chelshit matako yenu
Dah Hii ingekuwa kwenye mechi dhidi ya Arsenyembo ingekaa poa sana ila naamini lazima ije tamu zaidi hasa Arsenyembo akinyooshwa 😂Na wakifungwa next week itakuwa ni hatati
Nipo naandaa pesa ya bia nishekee ubingwaHilo neno tunapanua gap ,next week litakukosti jomba 🤔
Hizo bia utazinywa kwa machungu bwasheeNipo naandaa pesa ya bia nishekee ubingwa
Nipo naandaa pesa ya bia nishekee ubingwaHilo neno tunapanua gap ,next week litakukosti jomba 🤔