Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 2,844
- 5,118
Kabisa, hii forward ya France utaizuiaje wasikufunge?Tuacheni kujipa matumaini hii match Sweden hana chake
Kabisa, hii forward ya France utaizuiaje wasikufunge?Tuacheni kujipa matumaini hii match Sweden hana chake
Asipokufunga Mbappe, atakufunga Dembele,Dembele akizembea kuna OliseGoli nyingi sana zimekoswa. Hawa France wanaupiga sana.
Kuwazuia hawa jamaa inahitaji nifhamu na team work ya hali ya juu sana.Asipokufunga Mbappe, atakufunga Dembele,Dembele akizembea kuna Olise
Kwamfano wakatolewa me siangalii tena mashindano hah.Kaka acha kabisa, sijaona timu inapiga mpira kama France..
Na miminapo wapendea France wana wacheaji weusi wengi...
Perez atoe tu hiyo 200+M maana jamaa anachofanya humu ni balaa.Hawa france ni hatari jamani...huyu oliseh wacha perez akose usingizi
Kabisa MkuuFrance goli 1 halitoshi waongeze wamalize kazi.Yasije yakawakuta na ya Germany
Yani navowapenda France sijui itakuwaje ikiwa vinginevyo kaka?Kabisa Mkuu
Uzuri hata wao wanaonesha kuhitaji magoli zaidi.