Recent content by micky mouse

  1. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Mbeya hawajui kabisa nyama choma

    Kumbe kuna fursa wakaskazini tusogee sio
  2. micky mouse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu,stress za maandalizi ya ndoa.

    Ndoa inategemea ww muhusika unaitaka ya kawaida au ya misifa hapo ndio kuna mi stress kibao kama yangu ilikua ya simple sana kama yangu ilikost 300,000/=tu wageni kama kumi hiyo haihusiani na pete Sent using Jamii Forums mobile app
  3. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

    Ipo vizuri hata ulaji wake wa Marita poa ila ukinyoosha mguu kuanzia 80km/ph inaanza kujiachia pia ipo comfortable sana spear zipo tele Sent using Jamii Forums mobile app
  4. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais, hii ndiyo Julius Nyerere International Airport inavyowatesa wageni na kuwakimbiza

    ni kweli jamani muhimu sana mr jpm apaangalie
  5. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Line za wakala zinapatikana

    uko wpi nommy mi nipo moshi
  6. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Xiaomi Redmi 1s & 2

    wakuu Nairobi zipo nyingi angalia olx Nairobi.pia hebu jaribuni Ku Google simu inaitwa g5 nzr sana ni likuta zipo Lilongwe Kwa kwacha 40000 hapo zidisha Mara 37 una pata tsh yetu.
  7. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Ni nani/kina nani wamiliki wa PANONE Company Ltd?

    ni Mchaga jamani Patrick ......
  8. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Jamani msiende private wore tunahitaka kujua hii kitu pia mbegu ni wapi zinapatikana nipo moshi
  9. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Spika Makinda ama amechoka au ana hasira?

    Hati ya dharula ili ipite iwanufaishe ccm hata baada ya chaguzi,wawe tayari wamevimbiwa .......
  10. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Vietel Tanzania, mtandao mpya wa Simu

    Hizo smart fone zao tu za nafuu hatari..waje tu
  11. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Kuimarika kwa shilingi imenikera sana!

    Usipo lipo deni unazaa nao tu hawana shida!!!!
  12. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Nguzo mpya za simu zinazosambazwa mitaani

    Hata huku moshi zipo wanachimbia chini,tu penye mito ndio wana pitisha juu ktk vijinguzo vidooogo!!!!kama ni 4g poa maana huku moshi kuna maaeneo tunaenda kutega ndio tupate H+ ile ya airtel....kazi kweli
  13. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Bamia: Fahamu kuhusu mbegu bora, mazingira sahihi ya kulima, magonjwa na namna ya kuyakabili

    Nataka kulima eneo la chekeleni njia ya kwenda Moshi kuna mashamba ya umwagiliaji.
  14. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wachawi na uchawi hapa

    Duu!!hatari na vipi vile vishindo juu ya mabati usiku wa manane vinakua ninini?eti
  15. micky mouse

    JamiiForums Tanzania Nahitaji CD, DVD,na Empty DVD

    Hapana mkuu nataka za kununua ili niuze mkuu..
Back
Top Bottom