Kuimarika kwa shilingi imenikera sana!

Kuimarika kwa shilingi imenikera sana!

Dollar ILIPANDA mkapiga kelele oh serikali imeshindwa kazi Dollar IMESHUKA Bado tena mnapiga kelele. Sasa sijui mnataka nini au mnataka KUnunuliwa Fanta Ingine RWAnda na serikali
 
Mungu ni mwema nilikuwa naweweseka ile mbaya nimeagia kabajaji sasa nilikuwa nafikiria kakifika bandarini wangenikamua mbaya


Mwanangu naomba unipe website ya kuagizia hyo bajaj,mi nina ufahamu kwa upande wa magari tu
 
Ni kama kifaranga wa kuku kusubiri nyonyo kwa mama yake!

Leo asubuhi ilikuwa 1900 and now imekuwa 2050.

kumbe leo tu imebadilika hivyo?? Naona itarudi ile rate ya wiki iliyopita muda si mrefu.
 
Wonderful

Wewe ndio huelewi. Ina maana Shilingi imepanda thamani kwamba uwezo wake wa kununua chochote ni mkubwa zaidi sasa kuliko hapo awali. Kwa kutumia mfano wako huo kama ilikua ununue tractor moja kwa hizo Sh. 3,300,000= sasa utahitaji . Tshs 2,880,000 tu kulinunua. What a saving!

mkuu mm sihitaji kununua chochote zaidi ya sembe na vinguo vya sikukuu.
Sasa zaidi ya laki4.5 imepotea...nimevurugwa sana kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Dollar ILIPANDA mkapiga kelele oh serikali imeshindwa kazi Dollar IMESHUKA Bado tena mnapiga kelele. Sasa sijui mnataka nini au mnataka KUnunuliwa Fanta Ingine RWAnda na serikali
Tunataka ipande!!!!!
 
Sio kuimarika ni siasa tu ndio iliyoiporomosha, wanatafuta hela za kampeni na uchaguzi.
 
Mr. Wondeful. You sound wonderful . Umenikumbusha kauli ya yule mheshimiwa wa ESCROW aliyesema milioni 10 ni hela ya mboga tu.
 
Kiwanda cha tiles bagamoyo kime-resume uzalishaji kwa kasi ya ajabu. Tumepandisha bei kidogo, ila karibuni.
 
Mbona ishaanza ku poromomoka tena, mkopo ulioingizwa kwenye monetary system ulikuwa solution kwa wiki mbili au tatu, wanaokimbizia dolla nje hawajalala bado wanafanya yao.
 
Back
Top Bottom