Siyo mradi wa vigogo wetu kweli huu?
vietel wameanza na analogi haya mambo ya kusambaza nguzo yamepitwa na wakati. Minara yao mingi ni fut 2 hawa wameshindwa kabla awajaanza
Nasoma mara kadhaa sipati nia na dhumuni lako ...
matapeli wengi huwa na maelezo kama ya kwako ila mwisho wa siku utendaji huja kujaa wizi na ulaghai kibao. kama huamini ngoja wauzindue ....fungua tuuuone...yaliyomo
vietel wameanza na analogi haya mambo ya kusambaza nguzo yamepitwa na wakati. Minara yao mingi ni fut 2 hawa wameshindwa kabla awajaanza
Vietel ni mtandao mpya wa Simu kutoka Vietnam ambao unatarajia kuzindua Huduma zake Septemba mwaka huu,mtandao huu kwa sasa wanakaribia kukamilisha zoezi la kutandaza minara nchi nzima.
Vietel ni mtandao ambao unatumia kasi ya 3G na 4G lakini pia garama ya mawasiliano itakua chini kabisa ambapo kila mtanzania atakua na Uwezo Wa kumudu mawasiliano bila tatizo.
Viatell inatarajia kuleta Simu zao za smartphone ambazo watauza kwa bei nafuu kabisa ambapo Simu ya laki mbili wao watauza elfu thelathini.
Viatell itapatikana nchi nzima vijijini na mijini kwa kasi ile ile na ubora ule ule.
Watanzania sasa mmepata mtandao mzuri na wenye faida.
Kwaheri Vodacom, Tigo na airtel

Mbona Viettel wametangazwa sana na ni kampuni ya kihalali kabisa ya kutokea Vietnam, na Kikwete alikwenda kuonana nano na kuwarai wafunguwe kampuni Tanzania ili kuzidisha ushindani kwani huduma zao ni bei nafuu kabisa.
Hivi huwa mnasoma hata magazeti au habari za Tanzania au mnakurupuka kupinga tu kila kitu?
Wasome hapa: Say it your way
Tatizo lako we ni mtu wa back office.
Unasoma sana na tatizo lako kubwa ni kuamini kila unalosoma.
nakuhakikishia katika mabandiko yote unayoyasoma kwenye vitabu au internet 80% ni cooked information.
waulize wasomi na waandish wa kisasa wa sku hizi kama wanahangaika tena kutafuta taarifa na kufanya research za kweli. maandiko yao na research zao zote ni za kuforge. kazi yao ni kujifungia ndan kupika data na kutunga habar
Ukitaka kuwajua vizur Viettel tuulize sisi tuliowah kufanya nao kazi long time kabla hata hawajalease hata eneo moja la kujengea minara. kabla hata hawajapata ofis pale mikochen reagent estate....
I know Vietel inside out.
Ukitaka kupata taarifa sahihi come out stop hiding behind the laptop monitors
Sasa wewe usichokiamini hapo ni nini? kuwa Viettel haipo au vipi? hueleweki.
Naona unahororoja na kubwabwaja bila mpango.
Kawaida yako....