Tupeane uzoefu,stress za maandalizi ya ndoa.

Tupeane uzoefu,stress za maandalizi ya ndoa.

Hii harusi Safi Sana na yangu nataka budget yake isizidi elfu80
 
Nakumbuka nilikuwa namawazo sana nafikiria huyu binti atakubali kweli?

Kipindi hiko maisha magumu kinoma niliwaza pesa ya kishere kidogo naitoa wap??

Nashukuru Mungu ilipita salama gharama haikuzidi 100000/=

Nakumbuka baada ya ndoa nilihisi kuna mzigo nimeutua..
VP we ilikuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
inategemea ulioa lini
 
Wee sema tu bajet ilikua elfu kumi napo ni ubani na kadhalika
 
Hahaaa mkuu hebu nifafanulie hii Tsh 100000/=,uliimeneji vp ikakufankishia jambo hili?,[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza ukacheka mpaka basi aise

Sent from Nokia 7 Plus
 
Ndoa inategemea ww muhusika unaitaka ya kawaida au ya misifa hapo ndio kuna mi stress kibao kama yangu ilikua ya simple sana kama yangu ilikost 300,000/=tu wageni kama kumi hiyo haihusiani na pete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serious nimegundua Leo wote wajita then tumetoka kiabakari... Halafu mm Hadi namba yako ukizingua nakutafta japo kukucall ni gharama Sana kwa huku niliko
Uuwii wachasugu??
Hahah mimi sio mjita jamaniii nakataa kabisaa puliiizzz
 
Back
Top Bottom