Ni nani/kina nani wamiliki wa PANONE Company Ltd?

Habarini wakuu

Hivi huyu Tycoon na Bilionea anayemiliki hizo hazina hapo ni muhindi au mbongo? Natafuta Ajira na nataka nitume CV kwa HR dept yao,kwani toka nimemaliza chuo mpaka leo hii nasugua tu soli za viatu.

Ni mbongo mzaliwa wa pwani. Kwani nani hajui jambo hili.
 
Ha haa! Hili ndilo jibu mleta mada alikuwa analitaka. Tangu lini mtaka ajira akataka kujua mmiliki wa kampuni. Kama angekuwa serious na ajira, angeulizia anuani na mahali wanakopatikana...

Nimeshangaa anataka kwenda kufanya kazi kwenye hazina za watu,si afungue hata mpesa yake kama kianzio?
 
Ha haa! Hili ndilo jibu mleta mada alikuwa analitaka. Tangu lini mtaka ajira akataka kujua mmiliki wa kampuni. Kama angekuwa serious na ajira, angeulizia anuani na mahali wanakopatikana...

Acha uongo mkuu,pamoja na degree yangu nimekaa nyumbani miaka miwili sina ajira nikaaply kwenye makampuni mengi makubwa nikaona nijaribu na Panone.
 
Back
Top Bottom