Nguzo mpya za simu zinazosambazwa mitaani

Nguzo mpya za simu zinazosambazwa mitaani

Hiyo Fiber optic cable ya Viatel. Ni kampuni ya Vietnam na inamilikiwa na jeshi la vietnam. Wanaweka hizo cable inchi nzima kwa sasa kwa kasi kubwa.Sehemu nyingine wanachimbia chini na zingine wanaweka juu. Msumbiji wamesababisha watoa huduma wengine wakimbie kwani wameshindwa shindana nao.
 
Mimi nilifikiri ni wale wa Cable TV wanalianzisha na huku kumbe siyo. Okay ngoja tuone wanalipi hasa jipya
 
Hii kampuni inanguvu ya mtu alie kwenye madaraka mpaka mbuga za wanyama wameweka nguzo serengeti
 
Ukianzia mikumi mpaka kitonga upande wa kushoto ukiwa unaelekea iringa napo zimejazana, mhhhhh mm sikujua maana yake
 
Nielekezeni zilipo maanake nasikia gesi inapanda kuanzia tarehe moja!!...,nianzishe biashara ya kuni...
 
Hata huku moshi zipo wanachimbia chini,tu penye mito ndio wana pitisha juu ktk vijinguzo vidooogo!!!!kama ni 4g poa maana huku moshi kuna maaeneo tunaenda kutega ndio tupate H+ ile ya airtel....kazi kweli
 
Ni kweli Hawa ni viatel mkoa wa Ruvuma wanajenga mnara karibu na hospital ya mkoa. wanasema wanakuja na simu zao za smart phone ambapo simu ya tsh laki nne wao wataiuza kwa sh elfu arobaini tu za kitanzania
 
Hata huku moshi zipo wanachimbia chini,tu penye mito ndio wana pitisha juu ktk vijinguzo vidooogo!!!!kama ni 4g poa maana huku moshi kuna maaeneo tunaenda kutega ndio tupate H ile ya airtel....kazi kweli

Itafanya kaz kwenye sim zetu? Au had ununue sim zao? Halaf wakuuzie bei chee wakubane kwenye mawasiliano....
 
Hata huku moshi zipo wanachimbia chini,tu penye mito ndio wana pitisha juu ktk vijinguzo vidooogo!!!!kama ni 4g poa maana huku moshi kuna maaeneo tunaenda kutega ndio tupate H+ ile ya airtel....kazi kweli

H+ ya airtel ni sawa na nusu ya 2g ya voda
 
Hawa ni viatell, maeneo ya mjini wanaweka nguzo kama aa ttcl, vijijini na nje ya miji wanachimbia chini, wanasambaa kwa kasi, karibu wana cover nchi nzima.

Wanatarajiwa kuwasha mitambo September /October
Ukiingia katika web yao ni moha ya mitandao inayokuwa duniani kwa kasi na maeneo waliko wanafanya vema kupita kiasi

Sio kuwa wanawasha 4g tu, mtandao wao utakuwa kuanzia 3g nimebahatika kuongea na hawa wa Vietnam japo English ni kama hawajui kabisa si wakati mwingine tulitumia lugha ya ishara😛

Anyway hawa akina voda naskia wana haha

Tusubiri tuone
 
Attachments

  • 1435641279324.jpg
    1435641279324.jpg
    56.5 KB · Views: 294
Mimi nilifikiri ni wale wa Cable TV wanalianzisha na huku kumbe siyo. Okay ngoja tuone wanalipi hasa jipya
Kwa arusha fibre optic cables zimechimbiwa chini kwa sehemu kubwa,ila zile za kwenye nguzo ni za milan cables and network
 
Morogoro nako wapo wengi tulidhani ni cable kumbe sim! Ngoja tuone itakavyokua
 
Anayejua anielimishe. niko bush fulani na huo waya umepita hapa umechombiwa. sasa utatusaidiaje wakati umezikwa ardhini?
 
Sawa nasubiri lkn natamani kujua huo waya utatusaidiaje wakati umechimbiwa chini halafu umepita tu? Anayejua anielimishe?
 
Hiyo Fiber optic cable ya Viatel. Ni kampuni ya Vietnam na inamilikiwa na jeshi la vietnam. Wanaweka hizo cable inchi nzima kwa sasa kwa kasi kubwa.Sehemu nyingine wanachimbia chini na zingine wanaweka juu. Msumbiji wamesababisha watoa huduma wengine wakimbie kwani wameshindwa shindana nao.
Long life jf...huwezi pata information kama hizi popote zaid ya hapa..
 
Back
Top Bottom