Spika Makinda ama amechoka au ana hasira?

Spika Makinda ama amechoka au ana hasira?

Ccm wanaitakia mema kweli nchi yetu maana duh
 
Serikali iliyojaa walanguzi na wezi, kwa nini wanalazimisha kuleta miswada muhimu kama hii kwa haki ya dharura? Wakati spika akiahirisha bunge amesikika akisema Lissu, Mnyika, Machali na Rajabu Mbaruku wakamatwe na wapelekwe kwenye kamati ya maadili. hii imekaaje???
 
Muongozoooooooooooooooo!!

Wamesikika wabunge wa upinzani na spika kuahirisha bunge wakati waziri wa nishati na madini akisoma muswada wake.

Kwa nini hii miswada inalazimishwa kwa nguvu????

safi sana hiyo ndio dawa.
 
Katibu mkuu kinana yuko wap ..si alishawaonya wabunge wa ccm kuacha kutetea maslah binafsi badala ya wananchi
 
Ccm ina maana kauli ya Kinana kule Mwanza ilikuwa geresha tu aliposema wabunge wake wabadilike sio kupitisha kila kinacholetwa na serekali?
 
nishasema kwasasa hakuna haja ya bunge,livunjwe hiyo miswaada isubirie baada ya uchaguzi
 
Huyu mama nmekubali kabisaaa wagumba wana matatizo makubwa sana hasa ktk maswala ya kijamiii, Nina mfano mwingine harisi kwa jran yangu,mpka amefukuzwa kazi.
 
Wanataka siku ziende fasta wapigwe mabilion yao
 
Hati ya dharula ili ipite iwanufaishe ccm hata baada ya chaguzi,wawe tayari wamevimbiwa .......
 
Huyu mama sijuw ccm wamefikri mara ngapi kuwa spika, naskia ana kadiploma lakini pia isijekuwa ana stress za kutokuwa na mume

Huyu ni mjasibu na kwa sababu hajui sheria anatumia nguvu badala ya busara.
 
Mama amechoka jamani,miaka ya 70 mama alikua tayar anaingia mjengoni kupitia nyadhifa zingine kama ktatibu 2 bunge nk,ndo maana amesema mwaka huu baas,
 
Huyu mama nmekubali kabisaaa wagumba wana matatizo makubwa sana hasa ktk maswala ya kijamiii, Nina mfano mwingine harisi kwa jran yangu,mpka amefukuzwa kazi.

Siyo mgumba. Ana mtoto mmoja wa kiume inavyosemekana
 
Hayo ni manyunyu tu kwa ccm. Hata kama ccm itatoa Rais, atakuwa na wakati mgumu sana kuendesha bunge lenye UKAWA wengi zaidi maana hata wajitahidi vipi ccm kuiba kura, bado viashiria ni vingi mno kuwa bunge lijalo litakuwa na UKAWA wengi sana katika historia ya nchi yetu.
 
nishasema kwasasa hakuna haja ya bunge,livunjwe hiyo miswaada isubirie baada ya uchaguzi

hata mimi najiuliza kwani kila kitu lazma kifanywe na serikali hii waache watakaoingia wafanye jambo hil kwa makini vingnevyo kuna kitu kinafichwa hapa hatujui.
 
Back
Top Bottom