Ni kweli waarabu huwa wanaoana binamu na utamaduni huo unatekelezwa pia na waislamu walio wengi. Hata Bongo karibu waislamu wengi tu si tatizo kuoa binabu, ila kuzini hairuhusiwi. Kisichokubalika ni ndugu wa kutoka upande wa mama (kama walivyo hawa wawili). Kwa waarabu, waislamu na watu wengi wa...
Siku hizi naona sana kwenye CNN watani zetu (wakenya) na nchi nyingine za Afrika kama vile Angola na Afrika ya kusini wakijitangaza sana tu kwa matangazo waliyoyatayarisha maalum na mazuri sana kama lile Tangazo la "Malaysia truly Asia". Wakenya wanasema "The magic of Africa".
Sisi sijui...
QUOTE =Amosam;505635]Du hapa kwenye rangi nyekundu mzee umechapia,Suzan Mungy(Mongi) hata Maulid Kitenge hujui kama katokea Tabora?Baba yake anaitwa Baraka Kitenge mchezaji wa zamani wa vijana wa Jangwani.
Suzan Mungy ni mtu wa Tanga ila ameolewa na mtu mwenye hilo jina la Mungi.
[QUOTE
Kwani Spika wa bunge la Marekani (Mama Nancy Patricia D'Alesandro Pelosi) ametuma salaam rasmi za rambi rambi? Mbona Rais wake mwenyewe amemung'unyamung'unya salamu zake za rambi rambi? Nani katika familia ya Jackson amezisikia au kuzithamini hizo salamu za Spika wetu? Si heri hao wa...
Kama ni kweli kwamba utaifa na uraia ni vitu viwili tofauti, na kama ni kweli kuwa serikali itatoa vitambulisho kwa watu wenye utaifa na si uraia wa Tanzania. Ndiyo kusema hata wale wote waliokwishaukana uraia wa Tz na kuchukuwa uraia wa nchi nyingine (kama sheria zetu zinavyotaka) nao...
Mfalme hapa. Ingawa nimeshajibujibu kidogo kwenye habari kadhaa, lakini mimi bado ni mgeni hapa ukumbini. Nimeona nisalimie kidogo na kujitambulisha.Tuko pamoja, naomba mnipokee wandugu.
Mfale.
Jay dee blog yake ni ya kiswahili, kwa waswahili (wabongo) hasa vijana wadogo, na hao ndio wapiga kura wake naye analijuwa hilo. Karibu wote hawamjui Whitney (hata kama wanamjuwa, si kama tunavyomjuwa sisi) kama wamarekani wasivyomjuwa Jay dee. Of course hapo aliye juu atakuwa ni Jay dee kwa...
Huyu bwana RA angetosha kabisa kuitoa CCM madarakani kutokana na haya mashutuma yote aliyonayo, ila tatizo watu wa vijijini ambao ndio wapiga kura walio wengi, hawana habari hizi, hawaelewi lolote, hawana elimu ya kuchanganua mambo na kibaya zaidi wana njaa kali.
Kwahiyo uchaguzi unapokaribia...
Habari zenu, mimi ni mgeni hapa. Tuko pamoja!.
Duh! huyu muheshimiwa nadhani amechukuwa tu uraisi kwa maslahi binafsi, lakini kazi anayoipenda ni ya uwaziri wa mambo ya nje. Sasa siangeifuta tu hiyo wizara ya mambo ya nje akaisimamia mwenye na akajiita raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.