Hi

Mfalme

Member
May 11, 2009
14
0
Mfalme hapa. Ingawa nimeshajibujibu kidogo kwenye habari kadhaa, lakini mimi bado ni mgeni hapa ukumbini. Nimeona nisalimie kidogo na kujitambulisha.Tuko pamoja, naomba mnipokee wandugu.

Mfale.
 
Karibu sana mfalme ukiweza utawale jamvi hili kwa hoja kali. Jisikie nyumbani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom