Friday, October 12, 2012
OKTOBA 14
(Kwa ajili ya kumbukumbu ya Mwalimu na
Usia wa Hatma ya Tanzania.)
NAMSHUKURU Karimu, kwa kunipa itihari,
Amri nimesalimu, nakukubali kadari,
Ili siku ya hukumu, janibu isiwe nari,
Kwa nafsi kuidhulumu, kwa yasokuwa na kheri...