[TABLE="width: 100%"]
[TR="bgcolor: #ffffff"]
[TD="colspan: 2"] SHELUKINDO TUMEKUSIKIA, NA SISI TUTAKUUNGA MKONO IKIWA KAMA CHAGUO
LAKO LA MGOMBEA WA CCM
LITAWEZA KUYAJIBU MASWALI HAYA KITAIFA NA SIO KICHAMA:
Mheshimiwa asiye mheshimiwa na asiyejiheshimu, Shelukindo hebu tupe
sababu za sisi kukuunga mkono kama bwana
huyo atakusaidia utujibu masuali yafuatayo:
* Nini kilichotokea Irani wakati wa utawala wa awamu ya kwanza na yeye
akiwa kiongozi katika serikali hiyo
waliotumwa kwenda kutuombea mafuta ya Irani kwa kuwa nchi ilikuwa
imeishiwa na kiwango cha rushwa aliyopewa na
Wairani?
* Je, ni kweli kwamba bwana huyu ndiye aliyewadanganya Walutherani wa
Ujerumani kwamba idadi ya
Walutherani Tanzania ni aasilimia 40%; Wakatoliki asilimia 28%;
Waislamu asilimia 30% na waliobakia mapagani? Kitu
kilichosababisha chama chake na swahiba wake kuondoa kipengele cha
dini kwenye katiba wakati tumeona kwenye
chaguzi za nchi kubwa kwa ndogo matokeo ya kura yakionyesha waziwazi
asili na dini za wapiga kura na idadi
wagombea waliyounga mkono na kila upande? Je, misaada anayopokea toka
Ujerumani inaingia kama ya serikali au ni
yake binafsi ?
* Je, watu waliowaweka Wassira, Rweyemamu, Nagu na Meghji kwenye
sehemu nyeti kichama na kiserikali ni
akina nani, na je, swahiba wake mheshimiwa wanajua watu hao wanalipwa
mishahara ya serikali na mishahara toka nje ya
serikali ?
* Ni nani aliyekuwa akiwatukana watumishi wa umma, hasa sisi wa Hazina
na TRA matusi ya nguoni katika muda
wake mfupi kama kiongozi nchi hii ?
* Ni nani wanaotumia fedha walizoiba kupitia EPA benki kuu na hazina
kwa kutumia saini ya kugushi ya rais wa
awamu ya tatu kujineem,esha na kujijenga himaya ya kibiashara ili
kuitawala na kuinunua CCM na hatimaye kuinunua
Tanzania nzima ? Na ni kiasi gani cha fedha zao zinatokana na kuba
kupitia EPA, benki kuu, hazina, mawizara na
mikoa kwa saini za kugushi wakati wa utawala wa awamu ya tatu?
Wanahusika vipi na kutoweka kwa Bilal, gavana wa
benki kuu?
* Je, ni akina nani wanaotumia viongozi na ofisi za serikali
kupitishia fedha chafu toka makampuni ya simu,
pensheni ya wasioajiriwa, migodi ya dhahabu, mifuko ya kidini ikiwemo
Kilutheri na Kiismailiya ili kuhonga vijana,
kinamama na wanachama wengine wa upinzani kuudhoofisha upinzani ?
* Je, ni kiasi gani cha fedha IPTL incholipwa na kinacholipwa na
TANESCO na serikali kwa makampuni kama
Richmond, Dowans, Kagoda, Kampuni ya Gesi kinachochokwenda mfukoni
mwao na kwenye kibobo kisicho na ulinzi
cha CCM ?
* Je, wanaomiliki makampuni kadhaa nchini yenye umiliki pia wa
matapeli wa kimataifa hapa nchini ni watu gani
na wako chama gani ?
* Ni nani ambaye anachangia kulikosesha taifa kwa kushirikiana na
wawekezaji kutoka nje na matapeli na fisadi
wa ndani Tanzania kuliko mtu mwingine aliyepata kuuwa kiongozi Tanzania ?
* Je, anachangia kwa kiasi gani kwa kuwa na sampuli ya kampuni za simu
za mikononi baada ya kuiua TTCL,
ambazo zinakwapua fedha za wananchi na serikali kwa mkono wa kushoto
na kurudisha kimazingaombwe kidunchu kwa
mkono wa kuliwa bila wananchi kujua wanakaangwa kwa mafuta yao wenyewe;
* Je, inafahamika kwamba bwana huyu akilitumia gazeti hil hilo la
Shelukindo la mwananchi na wahariri
waliokuwepo wakati huo aliwachafua wagombea ugombea wenzake wa CCM na
kulitia hasara kubwa taifa hilo, ina maana
kwamba viongozi wa mwananchi hawajui hili na hawahofu kuwa kuna timu
ya wahariri na waandishi walionunuliwa na bwana
huyu na wanaweza kufanya lolote?
* Nani aliyetaka awe anaabudiwa kama sultani kama sio mfalme na mke
wake kama malkia yao yalipohusika au
ya wawekezaji wabia wao katika ofisi za serikali katika muda wake
mfupi uongozini?
* Je, kina Bashe na wenziwe wamezawadiwa bilioni ngapi ili kuchafua
majina ya watu kama Pinda na Membe?
Hivi mtu alyeondolewa kwenye baraza la mawaziri anaweza kujihesabu
kuwa yeye ni bora kuliko waliobakia kama yeye si
mchawi na mwanga mlozi, mwehu wa madaraka kama Hitler ?
* Je, trilioni ngapi ziliibiwa ukijumlisha dhahabu iliyochotwa B.O.T
na fedha taslimu na mafungu ya EPA na fedha
za Waisalmu zilizobatizwa za ugaidi zikaliwa na wajanja?
* Je, ni kweli kwamba bwana huyu amewanunua na anawalipa mshahara wa
pili viongozi wote wa CCM Unguja ili
waje wampigie kura ya kuwa mgombea pekee wa CCM 2015 ?
* Je, wanaowalipia Watanzania wengine ada za watoto wao wanaosoma
Ulaya, au ndugu na jamaa zao
wanaokwenda kutibiwa nje hivi ni wa akina nani na wanapata faida gani
kama sio kuwatia katika matope na kinyesi wenzao
kisiasa kama walivyowafanyia wagopmbea dhidi ya Kikwete 2004-2005 ?
* Je, ni kweli kwamba kuna watu wawili na mmoja wao ni yeye ambao kuna
vitu walimfanyia Rais wa sasa na
hivyo kumweka mahala pabaya 'holding one as a hostage' kuwakatalia
lolote wanalolitaka na pamoja na kujidai kuna
urafiki kati yao, urafiki huo ni wa kimaslahi na hususan kukabidhiwa
wao nchi pale kiongozi wa sasa muda wake
utakapokoma?
* Kwamba bwana huyu, mfadhili wake mkuu na makuwadi wake wanatumia
mabilioni kama sio trilioni za fedha
wanazopata kutoka migodi ya dhahabu, ukodidhwa mitambo na mashine zao
mbalimbali, madeni feki ya Dowans
kimataifa, kamapuni za simu za mkononi, mifuko ya hifadhi waliyopewa
na CCM bure, NSSF, PPF, LAPF, Bima na mianya
Benki kuu na TRA kuisambaratisha CHADEMA wakiihofia 2015 ?
* Je, ni nani amekuwa akiwafadhili watu wanaoua wanyama pori wetu au
kuwauza nchi za nje bila nchi kupata kitu
chochote cha maana?
Nini mchango wa mheshimiwa katika kuharibu kabisa huduma za maji mjini
Dar es salaam na uhusiano wake na NUWA,
DARWATER na DAWASCO ?
Mkono wa mheshimiwa huyu huko NUWA, CITYWATER na hatimaye DAWASA
kisha DAWASCO umechangia dhiki ya
maji wanayoipata wakazi wa mkoa wa Dar es salaam hivi sasa ?
* Ni nani ambaye alikuwa Waziri Mkuu wakati fulani Tanzania na
anayedaiwa kuwa mtoto wa Gabriel Mawalla,
meneja wa zamani wa Shirika la Utalii nchini ? Babake huyo wa kweli
ndiye aliyemfanyia mpango wa kuajiriwa na UKumbi
wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha ? Huyu ni mwanaharamu mara mbili ya
yule waliyemwita hivi akokosa kura za
wanaCCM kugombea urais 2005 ambaye laiti angekuwa rais CCM isingekuwa
katika uozo inaojikuta ndani yake hivi leo.
Hivi sasa kaungana na wabaya na mafisadi wa Kitanzania wenye fedha
Uswizi kujenga himaya ya kibiashara
kwenye kila sekta nchini na kwa utajri wake amekinunua chama chote cha
CCM. Yaani, CCM iko mfukoni mwake kwa hivi
sasa ?
Huyu akichaguliwa hivi nchi hii na wasia wa baba wa taIFA Mwalimu
Kambarage Nyerere hivi haitakwenda
kuzimu kabla ya wakati wake.
Na inakuwaje nyumba zake ndogo ndizo zinazompigia debe kuwa
zitamuunga mkono mwaka 2015 kugombea
Urais hali hata 2014 haijafika mwaka ambao madaktari wake Ujerumani
wamemwambia akiufikia ni bahati kubwa kwake?
Yale yale ya kina Mbingu wa mutharika au Mugabe au Abacha au Chavez
na wagonjwa wengine wakubwa wakubwa
wanaolilia ukubwa hali wakijua siku zao zimeandikwa ukutani?
Ni nini uhusiano wake na wanawake domokaya wanaompigia debe la
kugombea urais 2015 kama vile kina
Shelukindo, Kibinga, Luoga, Lucy, Mary, Rita, Rachel, Irene, Premy,
Rose, Amida, Halima, Asha, na kadhalika na kama
hauna mahusino yanayoligharimu kiuchumi na kiuongozi
taifa hili?
* Kwanini mheshimiwa anahangaika sana kuwanunua vijana kwenye maeneo
magumu kwa CCM kiasi cha
kuwachanganya vijana hao na kuugua magonjwa kama ukimwi kwa kumwagiwa
fedha nyingi mno ? Hivi haraka hii
inaashiria nini kwa Watanzania wanaojua kufanya tafakuri na uchambuzi
wa kina wa kisaikolojia kwa tabia kuu za uchu na
uroho kama zile zilizojidhihirisha kwa Adolf Hitler huko Ujerumani
anakojifunza mbinu za kuhadaa kupata misaada na
utawala hivi leo ?
* Je, utajiri wa bwana huyu kwa kiasi gani unatokana na meno ya tembo,
pembe za faru, vito na madini
mbalimbali yaliyoporwa na swahiba wake Burushi mzaliwa wa Nzega ?
* Wana hisa kiasi gani katika TIPER, SONGAS inayotaka kuwaibia
wamakonde gesi yao, makampuni ya
uchimbaji mafuta na wasambazaji mafuta nchini ambao wanaonekana
dhahiri wako juu ya serikali na viongozi wake ?
* Hisa zao katika migodi mbalimbali ya dhahabu, tanzanite, almasi,
urani na madini mengine ni kubwa kiasi gani
?
Hongera asiye mheshimiwa na mwenye kujistahi sista du shelukindo na
vibarua mamluki wa mwananchi mnaoandaliwa
kuwa mawaziri chini ya rais mtarajiwa toka Umasaini mwaka 2015. Hakika
tutawaunga mkono tena kwa sababu kama
mtatujibu sisi Wazanzibar maswali yafuatayo:
* Ni kweli kwamba mheshimiwa huyu amewanunua viongozi wote wa CCM
Zanzibar kwa lengo la kupata kura za
kuchaguliwa mgombea urais 2015 ? Na kwamba matatizo tunayoyapata
Zanzibar hivi leo mengi yake yanasababishwa na
kisiwa kutokuwa na viongozi wanaowatumikia Wazanzibari bali
wanaowatumikia wale wanaotarajiwa kuwa marais mwaka
2015 baada ya rais wa hivi sasa kuachia ngazi?
* Je, hongo na rushwa binafsi wanazopewa Wazanzibar kupitia kina
Zakhia, mashehe wa kununuliwa na waliomo
madarakani kwa upande wa CCM vina lenga kweli kutufanya Zanzibar tuwe
watu huru ndani ya muungano au raia wa daraja
la tatu katika muungano?
* Kwanini hayati Mwalimu Julius kambarage Nyerere atahamanika
akisikia kuwa yeye Shelukindo
anapendekeza bwana huyo awe mgombea urais kupitia chama chake cha CCM
almaarufu kwa Chama cha Mafisadi au
Chama cha Mafichafedhauswizi ? Huyu akichaguliwa hivi nchi hii na
wasia wa baba wa taIFA Mwalimu Kambarage
Nyerere hivi haitakwenda kuzimu kabla ya wakati wake.
* Ni nani aliyewatumia watu ambao baadhi yao leo wako Ikulu na ofisi
nyingine za juu nchini kumuibia Jenerali
Ulimwengu Kampuni ya Habari Corporation na kuigeuza New Habari
Corporation? Na kampuni hiyo imeibiwa ili itimize
madhumuni gani ?
* Nani aliyewatuma watu kummwagia Kubenea tindikali usoni ?
* Nani aliyewatuma watu kwenda kumlisha Harrison Mwakyembe sumu ya kinyonga?
* Ni nani aliyewachagulia Walutheri viongozi ambao hadi wa leo
wamekuwa ni tatizo kwa kanisa hilo kwa kuwa
wanaacha kazi ya Mungu na kufanya kazi ya kumpigia debe mheshimiwa ?
* Ni nani anayekwamisha maendeleo ya Uislamu kwa sababu anazozijua
katika mikoa ya Arusha, Manyara na
Kilimanjaro? Makundi yanayopingana ndani ya Uislamu mikoni humo
yanafadhiliwa na nani?
* Nini uhusiano wa bwana huyu na Waisalmu wa Ismailia na mkuu wao
Mheshimiwa mno, Aga Khan na magazeti
ya mwananchi hapa nchini? Na nini alichokilipwa hadi wa leo katika
kuwasadia kuwa na magazeti, redio na televisheni
nchini pamoja na uwekezaji katika mashule na hospitali bila kusahau
uwekezaji wa Ismailia binafsi ? Na chama ambacho
yeye ni mwanachama kimefanikiwa kiasi gani kuwatenga Waismailia na
Waislamu wengine kwa faida zao binafsi?
* Ni kweli kuwa yumo katika kundi la Wamasai wa Tanzania na Kenya
wanaochonga mpango wa Wamasai
kutawala Kenya na Tanzania kwa faida ya nani?
* Je, ni kweli amewanunua wahariri wa Mwananchi kwa bei kubwa zadi
kuliko wahariri wengine ili tu kumpigia
yeye debe au ili gazeti hilo litumike kuwachafua viongozi wa CHADEMA
na kukichafulia kupendwa kwake nchini kwa
ujumla? Au amri inatoka juu, kwa sababu Agakhan analilia sana kuwa na
redio na televisheni binafsi Tanzania?
* Ni nani ambaye alikuwa Waziri Mkuu wakati fulani Tanzania na
anayedaiwa kuwa mtoto wa Gabriel Mawalla,
meneja wa zamani wa Shirika la Utalii nchini ? Babake huyo wa kweli
ndiye aliyemfanyia mpango wa kuajiriwa na UKumbi
wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha ? Huyu ni mwanaharamu mara mbili ya
yule waliyemwita hivi akokosa kura za
wanaCCM kugombea urais 2005 ambaye laiti angekuwa rais CCM isingekuwa
katika uozo inaojikuta ndani yake hivi leo.
Huyo bila shaka ndiye MacBeth wa Tanzania katika zama hizi;
* Hivi sasa kaungana na wabaya na mafisadi wa Kitanzania wenye fedha
Uswizi kujenga himaya ya kibiashara
kwenye kila sekta nchini na kwa utajri wake amekinunua chama chote cha
CCM. Yaani, CCM iko mfukoni mwake kwa hivi
sasa ?
* Kwamba amewapenyeza watu wake Ikulu, ofisi ya rais, ofisi ya makamu
wa rais, ofisi ya waziri mkuu ambao
wanalipwa sio tu mshahara wa serikali bali pia wanalipwa mshahara
mwingine na yeye? Na kazi yao ni kuhakikisha
kwamba yeye anakuwa mgombea wa chama tawala 2015 ?
* Kwamba wamewanunua wajumbe wote wa mkutano mkuu na halamshauri kuu
ya chama tawala;
* Jambo la mwisho ni kama asiye mheshimiwa kwa jina la Shelukindo kama
anaweza kutueleza uhusiano wake
na mheshimiwa huyu hadi cheo alichokipata ulianzia wapi na kama mama
mwenye nyumba ana habari? Na kama akina
Mary, Lucy, Irene, Premy, Fatuma, Rachel, Ritha, Halima, Rose na
wengineo nao wana habari na ushirikiano huo wa
kuelekea urais mwaka 2013 ?
* Na inakuwaje nyumba zake ndogo nyingi ndizo zinazompigia debe kuwa
zitamuunga mkono mwaka 2015
kugombea Urais hali hata 2014 haijafika mwaka ambao madaktari wake
Ujerumani wamemwambia akiufikia ni bahati kubwa
kwake?
Yale yale ya kina Mbingu wa mutharika au Mugabe au Abacha au Chavez
na wagonjwa wengine wakubwa wakubwa
wanaolilia ukubwa hali wakijua siku zao zimeandikwa ukutani?
Farouq Abddulkadri Kassim,
Mji Mkongwe, Zanzibar
(Mstaafu aliyefanza kazi bara kwa zaidi ya miaka 30.)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: qr, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #c3d9ff"]Quick Reply [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] [TABLE="width: 1%"]
[TR]
[TD="colspan: 2"] [TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD] [/TD]
[TD="colspan: 2"]To: Farouq Azani <farouq.azani@gmail.com> [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]