WANAOTAKA tujipongeze kwa mafanikio ya Miaka 50 ya Uhuru kwanini wasijiulize: 'Hivi hizi mbio za uhuru na maendeleo si tulianza sawa na Malaysia, Korea Kusini, Indonesia na nchi nyingi tu za Kiarabu ?'
Hivi tukijifananisha na Malaysia ambako juzi tu Mzee katoka huko, tuna kitu cha kujivunia kweli ?
Hivi Nyerere angeliachia kuwepo kwa upinzani nchi za Tanganyika na Zanzibar zingelikuwa hapa zilipo leo kweli?
Hivi tungelianza na ubepari moja kwa moja leo tungelikuwa na tujisenti na vifisadi uchwara vinginevyo?
Watawala hamjatutendea haki kwa kweli. Mmekula zaidi kuliko kile mlichotupatia. Tafakarini. Jisahihisheni!