Vyandarua vinavyotiwa dawa sasa vyazua maaafa.

Mbunge

Senior Member
Aug 7, 2008
104
10
UTAFITI wa hivi karibuni unaonyesha kwamba mbu wana akili zaidi kuliko viongozi wa binadamu waliopo duniani hivi leo baada ya mbu hao kujibu mapigo ya chandarua kinachotiwa dawa kwa kujigeuza viumbe wasiodhurika na dawa zitumikazo na hivyo kuongeza maradufu kasi ya kuwashambulia binadamu ndani na nje ya neti pamoja na idadi ya wagonjwa wenye malaria kuongezeka pia maradufu katika baadhi ya nchi zinazotumia ushauri huu wa kijinga waliopewa viongozi wetu wa Afrika na kuukubali na hivyo wewe mwenyewe utajua kama Mwalimu Nyerere alivyosema kuwa kama una kiiongozi anashauriwa ujinga, na kiongozi huyo anaukubali ujinga huo, basi na kiongozi huyo.........
(Na kwa bahati mbaya mhusika hapa ni kipenzi cha hayati baba wa taifa.). Aibu iliyoje. Lakini haya yote ni matokea ya tamaa zinazovyuka mipaka na kutumia vitu vingine kufikiri lakini sio kichwa na akili.

Nchi ikishafikia hatua ya kuwa na viongozi walafi, waroho na wenye uchu mkubwa wa kujilimbikizia mali na ubinafsi wa kutisha hutoshangaa kuona viongozi waliopita ambao leo wanatunzwa vizuri kuliko Watanzania wengine bado wanakuwemo katika mbio za kutaka kujilimbikizia hata katika miaka yao ya uzeeni kama vile watoto na wajukuu zao ni vilema, viwete na taahira wasiojua jinsi ya kujitafutia wenyewe.

Kinachogomba si kingine ila ule ukweli kwamba tuliwatarajia viongozi hawa kuwa sasa ni watu 'walioshiba' na kukinai ubinafsi, na kwamba mashamba ya ekari elfu kumi, elfu ishirini au ekari laki na zaidi wanayokwenda kuyashika wangeliyashika kwa nia ya kuilipa jamii kile ambacho wao zaidi ya mtu mwingine yeyote wamekipata toka kwa jamii hiyo. Haikuwa hivyo. Ni jambo la kuhuzunisha na kusikitisha. Maana kama ubinafsi uko hivyo ngazi za juu kabisa katika chama tunachoamini kilipiga vita kujilimbikizia na ubinafsi je, walioko chini yao nao wanajilimbikizia kwa kiasi gani. Na hili linawezekana maana hao ma-DC na Ma-RC wanawakatia viongozi hao kiasi hicho ili kuficha maelfu ya maekari ambayo wao wenyewe, wake zao, watoto wao, ndugu, rafiki na jamaa zao wamekwishakujimegea kwa hasara ya wananchi wa vijiji, kata, tarafa, wilaya na mikoa husika.

Mungu amuweke mahala pema roho ya Baba wa Taifa, J. K. Nyerere na kisha alizinganishe roho za viongozi hawa wetu wa roho na aamue mahala panapostahili kuziweka pindi wanapofariki pamoja na igiza na geresha toto yao ya kuwa na uchungu na Watanzania na nchi yao. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye tu anayejua ukweli uliomo katika roho za viongozi wetu hawa. Na atawalipa bila shaka kile kinachostahili papa hapa duniani leo na kesho akhera.

Kwenye miaka ya 2000 nilihoji akili za viongozi wetu kukubali huku meno 32+ nje nje eti vyandarua ndio njia sahihi ya kupambana na ugonjwa hatari wa malaria na sio nazalia ya mbu wa anofelesei.

Wakati miguu ya viongozi wahusika ikiwa mbali kabisa na mwisho na makaburi yao, Muumba anawaumbua kutokana na utafiti wa Waingereza ndugu wa Wamarekani wanaoabudiwa sawa kama sio zaidi ambao ndio walio nyuma ya mradi huu ambao leo umegeuka kuwa majuto ya nchi nyingi za Kiafrika.

Kwa faida ya wanajopo someni makala husika hapa chini:

Mosquitoes 'developing resistance to bed nets'

By Matt McGrath

Mosquitoes can rapidly develop resistance to bed nets treated with insecticide, a new study from Senegal suggests.

In recent years the nets have become a leading method of preventing malaria, especially in Africa.

The researchers also suggest the nets reduced the immunity of older children and adults to malaria infection.

But other experts say the study was too small to draw conclusions about the long-term effectiveness of nets.

In the war against malaria, the cheapest and most effective weapon to date has been the long-lasting insecticide-treated bed net.

Over the last few years the nets have been widely distributed in Africa and elsewhere - the World Health Organization says that when properly deployed they can cut malaria rates by half.

Continue reading the main story
"
Start Quote
If indeed this is a real trend we are seeing in this part of Senegal then it has very important implications for future malaria prevention and control strategies"
End Quote
Dr Joseph Keating
Tulane University
In Senegal, around six million nets have been distributed over the last five years. In this study researchers looked at one small village in the country and tracked the incidence of malaria both before and after the introduction of nets in 2008.

Within three weeks of their introduction the scientists found that the number of malaria attacks started to fall - incidence of the disease was found to be 13 times lower than before the nets were used.

The researchers also collected specimens of Anopheles gambiae, the mosquito species responsible for transmitting malaria to humans in Africa. Between 2007 and 2010 the proportion of the insects with a genetic resistance to one type of pesticide rose from 8% to 48%.

By 2010 the proportion of mosquitoes resistant to Deltamethrin, the chemical recommended by the World Health Organization for bed nets, was 37%.

In the last four months of the study the researchers found that the incidence of malaria attacks returned to high levels. Among older children and adults the rate was even higher than before the introduction of the nets.

The researchers argue that the initial effectiveness of the bed nets reduced the amount of immunity that people acquire through exposure to mosquito bites. Combined with a resurgence in resistant insects, there was a rapid rebound in infection rates.

The scientists were led by Dr Jean-Francois Trape from the Institut de Recherche pour le Developpement in Dakar. The authors are worried that their study has implications beyond Senegal.

"These findings are a great concern since they support the idea that insecticide resistance might not permit a substantial decrease in malaria morbidity in many parts of Africa," they write.

But other experts in this field say that it is impossible to draw wider conclusions.

True trend?

In a commentary, Dr Joseph Keating from Tulane University, New Orleans, US, acknowledges the concerns the study raises.

"If indeed this is a real trend we are seeing in this part of Senegal then it has very important implications for future malaria prevention and control strategies."

But he says there are a number of important provisos.

"I would certainly advise extending the study a couple of more years which would be helpful in determining if this is a true trend or is it something specific to that particular area.

"We need to be very careful when generalising these data to the larger continent of Africa as a whole; there is plenty of variation between communities and within communities."

Dr Keating acknowledges there is a debate within the scientific community on the issue of acquired immunity, the level of resistance to the disease that people get through being bitten.

"There is a huge discussion around acquired immunity. And how long does it take for an individual to lose this immunity once they are no longer exposed to parasite?

"So if you give someone a net he would be less exposed to parasites and it is possible that their immunity would shift to become less - but I think over all the benefits of nets certainly outweigh this potential loss of acquired immunity."
 
UTAFITI wa hivi karibuni unaonyesha kwamba mbu wana akili zaidi kuliko viongozi wa binadamu waliopo duniani hivi leo baada ya mbu hao kujibu mapigo ya chandarua kinachotiwa dawa kwa kujigeuza viumbe wasiodhurika na dawa zitumikazo na hivyo kuongeza maradufu kasi ya kuwashambulia binadamu ndani na nje ya neti pamoja na idadi ya wagonjwa wenye malaria kuongezeka pia maradufu katika baadhi ya nchi zinazotumia ushauri huu wa kijinga waliopewa viongozi wetu wa Afrika na kuukubali na hivyo wewe mwenyewe utajua kama Mwalimu Nyerere alivyosema kuwa kama una kiiongozi anashauriwa ujinga, na kiongozi huyo anaukubali ujinga huo, basi na kiongozi huyo.........
(Na kwa bahati mbaya mhusika hapa ni kipenzi cha hayati baba wa taifa.). Aibu iliyoje. Lakini haya yote ni matokea ya tamaa zinazovyuka mipaka na kutumia vitu vingine kufikiri lakini sio kichwa na akili.

Nchi ikishafikia hatua ya kuwa na viongozi walafi, waroho na wenye uchu mkubwa wa kujilimbikizia mali na ubinafsi wa kutisha hutoshangaa kuona viongozi waliopita ambao leo wanatunzwa vizuri kuliko Watanzania wengine bado wanakuwemo katika mbio za kutaka kujilimbikizia hata katika miaka yao ya uzeeni kama vile watoto na wajukuu zao ni vilema, viwete na taahira wasiojua jinsi ya kujitafutia wenyewe.

Kinachogomba si kingine ila ule ukweli kwamba tuliwatarajia viongozi hawa kuwa sasa ni watu 'walioshiba' na kukinai ubinafsi, na kwamba mashamba ya ekari elfu kumi, elfu ishirini au ekari laki na zaidi wanayokwenda kuyashika wangeliyashika kwa nia ya kuilipa jamii kile ambacho wao zaidi ya mtu mwingine yeyote wamekipata toka kwa jamii hiyo. Haikuwa hivyo. Ni jambo la kuhuzunisha na kusikitisha. Maana kama ubinafsi uko hivyo ngazi za juu kabisa katika chama tunachoamini kilipiga vita kujilimbikizia na ubinafsi je, walioko chini yao nao wanajilimbikizia kwa kiasi gani. Na hili linawezekana maana hao ma-DC na Ma-RC wanawakatia viongozi hao kiasi hicho ili kuficha maelfu ya maekari ambayo wao wenyewe, wake zao, watoto wao, ndugu, rafiki na jamaa zao wamekwishakujimegea kwa hasara ya wananchi wa vijiji, kata, tarafa, wilaya na mikoa husika.

Mungu amuweke mahala pema roho ya Baba wa Taifa, J. K. Nyerere na kisha alizinganishe roho za viongozi hawa wetu wa roho na aamue mahala panapostahili kuziweka pindi wanapofariki pamoja na igiza na geresha toto yao ya kuwa na uchungu na Watanzania na nchi yao. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye tu anayejua ukweli uliomo katika roho za viongozi wetu hawa. Na atawalipa bila shaka kile kinachostahili papa hapa duniani leo na kesho akhera.

Kwenye miaka ya 2000 nilihoji akili za viongozi wetu kukubali huku meno 32+ nje nje eti vyandarua ndio njia sahihi ya kupambana na ugonjwa hatari wa malaria na sio nazalia ya mbu wa anofelesei.

Wakati miguu ya viongozi wahusika ikiwa mbali kabisa na mwisho na makaburi yao, Muumba anawaumbua kutokana na utafiti wa Waingereza ndugu wa Wamarekani wanaoabudiwa sawa kama sio zaidi ambao ndio walio nyuma ya mradi huu ambao leo umegeuka kuwa majuto ya nchi nyingi za Kiafrika.

Unaposoma matokeo ya utafiti wa kisayansi 'kijinga', na usijaribu kufikiria 'critically' nini kinachosemwa kwenye majibu ya utafiti huo kabla ya kukurupuka na kuweka post JF....wewe ndio unakuwa 'mjinga' zaidi!

Kama unavyosoma hapo, Serikali kupitia wizara ya afya kitengo cha udhibiti wa malaria (NMCP) kina mikakati mingi ya kupigana na malaria, kutumia vyandarua vilivyowekwa dawa (viuatilifu) ni moja ya mikakati hiyo! Na mkakati huo haukuwekwa na viongozi wa kisiasa, bali ni baada ya ushauri wa kitaalamu ambao viongozi walipewa kutokana na tafiti mbali mbali za kisayansi zilizofanyika hapa nchini kwetu (Ingia kwenye website ya Ifakara Health Institute www.ihi.or.tz utakuta publications lukuki usome kwa faida yako) na nyingine zilizofanyika sehemu mbali mbali Africa, Asia na America ya Kusini. Tafiti hizi ndio zilipelekea shirika la afya duniani (WHO) kutoa mwongozo kwa nchi zote zenye janga la malaria duniani kuhusu matumizi ya vyandarua. Sasa wewe unajiona mwerevu saaana kuliko timu ya wanasayansi waliobobea wizarani na shirika la afya duniani?

Mabadiliko kwa viumbe hai ni kitu cha kawaida, hii ni njia mojawapo ya kuensure survival...viumbe hai hubadilika badilika na kuwa bora. Kama vile vijidudu vya malaria, au HIV, au TB na magonjwa mengine hubadilika na kuwa sugu kwa dawa fulani..basi mbu nao hubadilikana kuwa sugu kwa dawa za kuwaua...hii sio mara ya kwanza. Kinachofuatia hapo si kuitana wajinga na kwamba strategy nzima imeshindwa, bali ni kubadili kwenda kutumia dawa nyingine ambayo bado mbu au kijidudu hicho hakijawa sugu kwayo...thats happen everyday hata huko kwa hao unawadhani wana akili!
 
ni mkono wa Mungu tu utuguse kwa akili zetu wenyewe tutaendelea kuumizwa kila kukicha.
 
Back
Top Bottom