Recent content by mbelege

  1. M

    Natafuta shule ya kufundisha

    Mimi ni mwalimu wa somo la kiswahili elimu yangu ni degree moja.natafuta shule ya kufundisha.
  2. M

    Nisaidieni wadau wa lugha ya kiswahili

    Nini kinaitwa mlango kati ya ule uwazi wa kuingilia au kile kinachoziba ule uwazi auvyote vinaitwa mlango?
  3. M

    mapenzi du!

    Hivi wanajamii mpenzi wako akikutumia meseji ya kukutaka muachane kunahaja ya kuendele kumng'ang'ania?
  4. M

    To Univesity Graduates....2012

    Hujaeleweka mtuwangu na wala hujasomeka kabisa
  5. M

    The ufisadi of udom

    Poleni wanaudom lakini mnafikiri mnaelewa kuwa chuo chenu ni politics tupu komaeni mtatoka
  6. M

    msaidieni huyu rafiki yangu

    Nafikiri msaada halisi ni mumewe ambaye anamlazimisha kwenda huko. lakini kiukweli elimu ya open ni ngumu na inahitaji uvumilivu because unaweza kumaliza degree baada ya miaka hata nane
  7. M

    Taarifa kuhusu vyeti kwa graduates wa UDOM 2011

    kwani we hujui kuwa hicho ni chuo cha siasa?
  8. M

    Napinga Kiswahili kutumika kama lugha ya kufundishia

    Kwa nini tuwe watumwa wa lugha ya watu na ile hali tuna lugha yetu?,kwa nini tunapenda kujiwajibisha kwa kisicho chetu? Sioni ubaya wa kutumia kiswahili kama lugha ya kufundishia na pia si vibaya kujifunza lugha ya kingereza lakini kibaya ni kuwa mtumwa wa kuitukuza lugha ya kingereza na...
  9. M

    Natafuta mchumba

    Mimi ni mwaanaume nina miaka 26, natafuta mschana ambaye naweza kuanza nae maisha, tabia njema ndio kigezo changu kikubwa, awe mwenye mapenzi ya kweli. hapokuwa nimetendwa mara kadhaa lakin sina namna because natakiwa kuwa na familia natakiwa kuwajibika kama baba wa familia. so kama kuna women...
  10. M

    Kuhusu katiba mpya

    Ndugu zangu watanzania huu ni wakati wa kujitolea nafsi zetu kwa ajili ya tanzania yetu, kwani mchakato wa kuunda katiba si suala la dogo na la mzaa na sio suala la kumwachia mtu mmoja jukumu hili. Sasa ni fursa yetu watanzania kujenga nchi yenye falsafa inayoeleweka kwa kila moja wetu, na kwa...
  11. M

    Wataalam wa Kiswahili ?.

    Kweli hili ni tatizo maana najihisi mpaka sasa sio mswahili kwa sababu misamiati mingi inanishinda kuielewa, mfano neno ABORTION kwa kiswahili linaitwaje sijui, na laptop kuitwa dadavuzi mpakato du hii ni kali.
  12. M

    Kuna maneno ya kiswahiki yananitatiza wanalugha nisaidieni

    Wataalamu wa lugha ya kiswahili naombeni mnisaidie. Kuna baadhi ya m,aneno katika lgha ya yanapotamkwa mzungumzaji hutakiwa kuanza na ashakum, hasa kwa maneno ambayo yanaweza kudhaniwa kuwa ni matusi.(yaani mzungumzaji huanza kwa kusema ashakum si matusi), Sasa sijui ni kukua kwa lugha au ni...
  13. M

    Vitu gani unavyotakiwa uwe navyo ktk Oral Interview?

    Kikubwa katika oral interview ni communication skills pamoja na ujuzi wa kile unacchofanyiwa interview na personality yako.
Back
Top Bottom