msaidieni huyu rafiki yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaidieni huyu rafiki yangu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Eversmilin Gal, May 30, 2012.

 1. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wadau nina rafiki yangu ambaye amelazimika kwenda open university lakini yeye anaona shule itakuwa ngumu kwani hamna lectures kaja kwangu kuomba ushauri mi nikamwambia ngoja nikaulize JF naombeni mnijuze elimu ya pale iko vipi yeye hafanyi kazi ila mumewe Ndo anataka akasome huko please nijuzeni nimsaidie huyu rafiki yangu
   
 2. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mshauri rafikio ajiunge na JF kama wewe, then atapewa ushauri hapa hapa JF.
   
 3. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ana kasimu kamchina
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ye haijui jf?
   
 5. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hajui kubofya tarakilishi,au ndio jogoo la shamba?
   
 6. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Aarrrgghh hivi kwa NINI KAMA HUWEZI MSAIDIA M2 UCKAE KIMYA,UACHE WANAOWEZA TOA MSAADA WAFANYE HIVYOOO.UNATOA MANENO YA KEJELI HUKU M2 YUKO SERIOUSLY IN TROUBLE. SHAME ON U SO CALLED GREAT THINKERS,SHAME ON U
   
 7. wantuzu

  wantuzu Senior Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  open university ni nzuri sana , cha msingi aende mkoani kwake kama ni ilala wapo pale elimu kwa njia ya posta , temeke sjiui walipo , kinondoni ni opp na ubungo plaza jirani na engen filling station watamshauri afanye nini

  atasoma vizuri na atamaliza bila shaka , material na hata walimu wa kumfundisha wanapatikana kwa wingi
   
 8. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hapo umemsaidia au umelialia tu!
   
 9. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Typical. Haya bana me nimelialia bg up kwako Gr8 thnkr uliemsaidia.
   
 10. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli umeongea la maana yani watu wengine badala ya kutoa msaada wanaanza kejeli na mizaha cyo poa kabsa big up@Good guy
   
 11. mka

  mka JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Asome atapata material na walimu wa consultation atawapata pia. Anataka kusoma course gani?
   
 12. m

  mbelege Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri msaada halisi ni mumewe ambaye anamlazimisha kwenda huko. lakini kiukweli elimu ya open ni ngumu na inahitaji uvumilivu because unaweza kumaliza degree baada ya miaka hata nane
   
Loading...