Shule ya sekondari haina'BODI YA SHULE'

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Wadau katika jukwaa laelimu,inasikitisha kuona shule ya sekondari haina bodi ya shule.Nafikiri tunafahamu kazi ya bodi katika shule,hebu tujiulize maswala ya taaluma na uchumi nani anajadili,jibu unalo?Kwahali hii elimu katika shule husika elimu haiwezi kukua hata kidogo.
 
habari yako iko incomplete hujatuambia ni Shule ya serikali au private na je kuna sababu zilzopelekea Hilo hebu Jipange kwanza usikurupuke ka CHA kwanza
 
habari yako iko incomplete hujatuambia ni Shule ya serikali au private na je kuna sababu zilzopelekea Hilo hebu Jipange kwanza usikurupuke ka CHA kwanza

mchonganishi wewe wa ukweli. Unaweza kusoma na kuelewa. Jamaa kama anaandika insha ya darasa la tatu B
 
Back
Top Bottom