mapenzi du!

mbelege

Member
May 9, 2012
14
0
Hivi wanajamii mpenzi wako akikutumia meseji ya kukutaka muachane kunahaja ya kuendele kumng'ang'ania?
 
hakuna... just muombee kila la kheri huko aendako then chukua time yako... kwa nini muanze kubembelezana bana?
 
unamwambia na wewe ulikuwa unatafuta njia ya kumwambia mtemane!
 
Una haki ya kujua sababu ya kuachana..hata kama haitamaanisha kumbembeleza mrudiane. Ila unatakiwa kujua sababu.
 
Ni vizuri ujue kama umekosea nini otherwise muombee heri huko aendako
 
Ni kweli kuna haja ya kuja sababu ya kuachana ili iku nyingine akitaka kurudi kuomba msamaha mrudiane basi ujue kama kweli kajirekebisha au laaaaah!!!!!!
 
Hivi wanajamii mpenzi wako akikutumia meseji ya kukutaka muachane kunahaja ya kuendele kumng'ang'ania?
hapana kwakweli ila kama unampenda sana kuna haja ya kujua kosa lako liko wapi hadi akuache ivo huna budi kumuuliza kulikoni na sio kumng'ang'ania
 
wewe unaonaje?kwa nlivyopokea swali lako hakuna haja kwa sababu haionekani kama limekugusa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom