Taarifa kuhusu vyeti kwa graduates wa UDOM 2011

YEYE

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
437
72
Zoezi la utoaji vyeti lililokuwa lianze leo tar 1/6 limeshindikana kwa sababu zisizoeleweka..
Kwa walioenda leo kuchukua wameona usumbufu uliokuwa unaletwa na utawala kutokana na kutokuwa na mawasiliano baina yao..Tangazo walilotoa lilikuwa linataka graduates waje na 'clearance form from the bursar's office' ila tulichokuta ni kuwa zinahitajika na risiti zako zote ili kufanya clearance tena, pamoja na kuwa umehakikisha 'Loans' board' wamekwishalipa 'Tution fee' yako yote, na kama imetokea board haijalipa baadhi ya fedha hautaweza kupewa cheti hadi ilipwe.
MWISHO:-
Hadi mida ya jioni hii vyeti vilikuwa bado havijafika chuo kutokea vilipokuwa vinachapwa, ila wamesema ndo wanashughulikia kuvifanyia clearance ila vimeshafika Dar toka jana, taarifa hii ilitoka kwa Prof. Mwamfupe
Kwa mtakaokuja kuanzia kesho njooni na risiti zenu zote na muhakikishe hamna ela zenu za ada board wameshalipa..
Ni hayo tu ruksa kuniuliza swali.
 
wapuuzi sana, kama clearance ninayo risit za kaz gani?n wametoa sababu kwann tufanye clearance tena? Nawadai risit zangu za third year semista ya 2, watupe 2 haki yetu sio longolongo nyingi! Pumbav zao sana hao!
 
Baby shangazi according to Mwamfupe amedai kipindi tunafanya registration kule uwanjani (karibu na BOT) baada kufukuzwa chuo, wanafunzi walifoji sana 'muhuri wa bursar' ndo maana wameamua wahakiki tena
Af cha kuchekesha Dean anadai wanafunzi walikuwa wanakula pesa ya 'tution fee' toka board badala ya kulipa ( Sa sijui toka lini tution fee walipewa wanafunzi na board ili walipe chuo )
 
Last edited by a moderator:

hajisomi babu mwamfupe, tumekula tuition fee hewa?jaman hebu waache uswahili, wanataka kubambika madeni tu! So kama m2 hakupewa risit kama mie inakuwaje?kipind kile cha registration walitupa daftar tutafute majna tuliyoandka wakat tulpokusanya pay in slp! Watatuua kwa hila zao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom