Wataalam wa Kiswahili ?. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalam wa Kiswahili ?.

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Ngongo, Apr 25, 2012.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Wakati neno uboho likiwa bado linatusumbua kulitamka mbele ya hadhara wataalamu wetu wametudadavulia neno Laptop kwa kiswahili ni Dadavuzi mpakato.
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  dadavuzi mpakato...hah hahaha ahh nimeskia TBC asbh ehh nkashangaa
  awa bakita jaman wangekuwa wanasanifisha aya maneno uku wakiangalia uhalisia wa maneno..ufanano wa maneno na utumikaji wa maneno kulinganisha na mila na desturi zetu...sasa jaman eti DADAVUZI...ahh asi aibu jaman..ebu assume unamwambia mama yako mama naomba dadavuzi yako....mhh aijakaa vyema...uyu aliyetunga ili neno HANA MAADILI...ni muhuni kwa mbaaaaaali...aiwezekani from maneno yoteeeeeeeeeee iwe dadavuzi mpakato....NENO ILI MI HALIJANIBARIKI:rolleyez:
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Sijui hawa wataalamu wetu wa Kiswahili wanatupeleka wapi ?.
   
 4. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Hivi kwanini hawa jamaa wanapenda kujifanya wenyewe ndio wanakuza hii lugha yetu peke yao.., hivi kuna shida gani laptop ikiitwa laputopu.., calculator ikaitwa kalukuleta, website ikaitwa webusite.., haya mambo ya dadavuzi, luninga, tovuti, (na cash mashine sijui wala sikumbuki inaitwa nini..?)

  Sasa.., Je inamaanisha desktop itaitwa Dadavuzi Dawati, Dadavuzi Meza au nini ?, Jamani waache lugha ikue kutokana na watuamiji mitaani, yaani maneno wanayotumia ndio hayo yatumike

  :doh: Utafikiria mtu unajifunza lugha yako, ukubwani
   
 5. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sun wu pliiiiiz spare me sm pumziii uwiii wanchekeshaa bana ila kiswahili wazimu sasa dadavuz manake nini
   
 6. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,711
  Likes Received: 817
  Trophy Points: 280
  rose,hapo ktk kumuomba mtu kama ni dada yako unafupisha,usiseme dada naomba dadavuzi yako!unasema "dada naomba vuzi yako"
   
 7. m

  mbelege Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli hili ni tatizo maana najihisi mpaka sasa sio mswahili kwa sababu misamiati mingi inanishinda kuielewa, mfano neno ABORTION kwa kiswahili linaitwaje sijui, na laptop kuitwa dadavuzi mpakato du hii ni kali.
   
 8. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Tatizo wataalamu wetu ni masharobaro, wamekosa maneno kabisa????? why why kwanini???????? hawachelewi kuja na chombo kingine majina yaleyale "KUNDUZI, KUMAZI nk"
   
 9. Omonto wa-hene

  Omonto wa-hene Senior Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nimepata matatizo makubwa sana kusoma uzi huu wa Rose1980. Huyu jamani anastahili kurudishwa darasani afundishwe fonimu (Irabu na Konsonanti) kisha afundishwe silabi (pigo moja na matashi). Hebu tazama maneno yaliyokolezwa rangi kama alivyoyawasilishwa ndugu yetu. Kusema ukweli yanakera kuyasoma. Na kibaya zaidi ni kwamba kundi la watu waandikao kwa mtindo huo limeongezeka sana kwa sasa kiasi kwamba lugha yetu inaharibiwa vivi hivi! Tujirekebishe jamani!
   
Loading...