Vitu gani unavyotakiwa uwe navyo ktk Oral Interview?

Mbuty

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
411
236
Jamani siku hizi applications nyingi tunafanya Online mara nyingi tunatuma CV pekeyake. Sasa tunapoitwa ktk Oral interview je natakiwa niwe na vi2 gani?
 
cheti cha kuzaliwa
cheti cha shule ya msingi
cheti cha sekondari kidato cha nne na sita
cheti cha chuo
kalamu na picha
 
hold your certificates for emergency
 
Asante sana,umenifumbua rfk maana nilikuwa sielewi kabisa,tunashukuru experienced pple mnatusaidia ktk hatua kama hizi. Thats my 1st oral interview.
 
hold your certificates for emergency

Thanks,as for the 1st one they jst said that i should come with a pen,it was a written interview,they called me again on Monday for an interview bt said nothing rather than the time,since i am inexperienced thats why i had to ask ths. Thx a lot
 
Asante sana,umenifumbua rfk maana nilikuwa sielewi kabisa,tunashukuru experienced pple mnatusaidia ktk hatua kama hizi. Thats my 1st oral interview.

pande za wapi hapo. Wamekuita.
 
Sikubaliani na ushauri wa hapo juu, kwenye interview nenda na ID na copy ya CV yako, maybe transcript za chuo kama ni kazi yako ya kwanza. Cheti cha kuzaliwa, primary,secondary havina maana, na kama wanavihitaji wangesema.
 
Ok ndugu,thx a lot kwa ushauri.
 
Kikubwa katika oral interview ni communication skills pamoja na ujuzi wa kile unacchofanyiwa interview na personality yako.
 
Yes for sure,nimejifunza inabidi uielewe sana hiyo organization pia uielewe sana kwa makini nafasi ambayo wwe uliiomba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom