Mkuu gun powder ilivumbiliwa China...sio kwamba China ilikua imelala sema China ilikua isolated from the rest of the world kipindi hicho walionekana wanaishi maishi ya kijima zaidi...tawala nyingi za China zilikuwa na sayansi kumbuka ata uvumbuzi wa silk ni huko huko
Trip ya Teresa May Africa ilikua kuangalia fursa kubwa za kibiashara kati British na Africa baada ya Brixist...China kaishaishika Africa baada ya kuimaliza Asia..soon Hong Kong inarudi mikononi mwao..kuna uwekezaji mkubwa wa makampuni ya China Korea ya Kusini means nayo imeanza kuwekwa kwenye...
Hi ndio moja ya sababu iliyonifanya mpaka sasa sijanunua jezi ya Man U...bado sina imani na timu kabisa
Thank you once again for the shit [emoji90]performance Man U
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hawakutegemea kabisa hii game plan...tunafanya interceptions za maana...tumeshika Mane, Flemino na Salah...afu huku Rukaku anamsumbua Loveren na long balls...
Nadhani kipindi cha pili watakuja na plan B otherwise tuwanywa nyingi tu za counter attack...hapa inabidi tuwagonge cha tatu ndani ya dk...
As Man Utd fan...as much as I hate to admit it ila naamini Mikh atafit perfectly kwenye aina ya mchezo wa Arsenal...na atashine upya...wasiwasi wangu tu ni kwamba huyu jamaa ni mvivu wa mazoezi na Wenger hana kasumba ya kuwa mkali kwa wachezaji...akiachwa akaendeleza tabia hii he mighty be an...
As much as I hate to admit it tuna mmiss Pogba pale kati....timu imekosa creativity kabisa
Hela tulizotumia kumnunua liendof tungetumia kumpeleka Rojo India akapone mapema kama England wameshindwa mtibu...this guy is awful since day one anafanya school boy error
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.