Zijue Teknolojia 10 zilizovumbuliwa na wanawake

Tena huyo Shirley ndie highest Paid president of a private college.
Tena amekuwa awarded 53 honorary doctoral degrees
 
wanawake wote hao ni wa asilia za injee je bara afrika wanawake wamefikia wapi,wamevumbua nini kina mama zetu,afrika jamani lini tutafika ?
Mkuu kabla hujaandika ilibidi ufanye utafiti kwanza,wako wanawake na wanaume wengi weusi walivumbua mambo makubwa makubwa duniani lakini husikii habari zao,hii dunia inaongozwa na media za wazungu,media za wazungu hazipendi kutangaza mafanikio ya mtu mweusi,unatakiwa hufamu hilo kwanza

Katherine Johnson ni mwanamke mweusi alikuwa na kipaji za hesabu,bila ya hesabu zake wamarekani wasenglikwenda kwenye mwezi,kwa usfupi wasingeweza hata kuruka nje ya anga..

Kuna mpaka movie yake inaitwa "The Hidden figure"...

wako wanawake wengi sana wenye asili ya kimarekani walivumbua mambo mengi mfano:

Ellen F. Eglin katika miaka 1840 alivumbua mashine ya kuoshea nguo ya kwanza,,,
wanawake wenye asili ya kiafrika kama:
Sarah Boone,
Sarah E. Goode,
Valerie Thomas ,
Bessie Blount Griffin,
Patricia Bath,
Marie Van Brittan Brown ...huyu kavumbua CCTV
Lyda D. Newman,
Janet Emerson Bashen


Haya ni baadhi ya majina ya wanawake wenye asili ya kiafrika walifanya mambo makubwa duniani...
Omowunmi Sadik huyu ni mnigeria kavumbua mambo mengi ya dawa za hospitali huyu dada kazaliwa mwaka 1964

 
wanawake wote hao ni wa asilia za injee je bara afrika wanawake wamefikia wapi,wamevumbua nini kina mama zetu,afrika jamani lini tutafika ?
Kutingisha tako, umbea, kujikoboa, kuvaa mawigi, na kufungulia mziki wa taarabu kwa sauti kubwa
 
Maria Skłodowska-Curie
Marie Skłodowska Curie was a Polish and naturalized-French physicist and chemist who conducted pioneering research on radioactivity. She was the first woman to win a Nobel Prize, the first person and only woman to win twice, the only person to win twice in multiple sciences, and was part of the Curie family legacy of five Nobel Prizes. She was also the first woman to become a professor at the University of Paris, and in 1995 became the first woman to be entombed on her own merits in the Panthéon in Paris.
 
UMENENA VEMA SANA MKUU..LABDA WATU WASIOJUA HISTORIA YA UVUMBUZI WA VITU MBALI MBALI VIKUBWA DUNIANI NDO WATAWASIFIA WACHINA.ILA JAMAA WALE NI WAJANJA WAJANJA TU WA KUDANDIA INNOVATIONS ZA WHITES

Mkuu gun powder ilivumbiliwa China...sio kwamba China ilikua imelala sema China ilikua isolated from the rest of the world kipindi hicho walionekana wanaishi maishi ya kijima zaidi...tawala nyingi za China zilikuwa na sayansi kumbuka ata uvumbuzi wa silk ni huko huko
 
Back
Top Bottom