Pamoja mkuuHahah sawa
Jamaa napendaga sana anavyocheza kwa utulivu, anachezaga kama utani hivi. Anakaba mipira isipite kuwafikia washambuliaji.Kumbe na wewe umemuona, amesogea sana mbele kule nyuma amemuacha Smalling amerelax..hakuna kitu kinavuka mstari wake.
hahahahhahaWaziri wa mambo ya ndani, ndugu Eric baily anahakikisha hakuna maandamano yoyote kuelekea Ikulu kwa De gea
Dogo mzuri issue aendelee kupewa nafasi ili kuimarka zaidMcTommy anatoa balance ya timu mpaka raha..this boy is so amazing aissee
Anafanya things to look so easy kwenye midfield
tungoje kipindi cha pili naona vijana wa liva wanashangaa tu wasiamini kilicho tokea
hahhhhahahahhPeter @BBCSport Get Involved http://www.bbc.co.uk/sport/live/football/43264056?ns_mchannel=social&ns_source=twitter&ns_campaign=bbc_live&ns_linkname=5aa3d87ae05b98068dbae853%26Get%20Involved%26&ns_fee=0#post_5aa3d87ae05b98068dbae853 … via @BBCSport : Missing person report - @22mosalah @LFC went missing in @ManUtd area at 12.30. @MarcusRashford is wanted for questioning!![]()
![]()