Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,561
Umevamia mkuu...uwe mvumilivu.Acha upumbav ww..
Hapa tunaizungumzia timu ambayo ni Man Utd na siyo kundi la wachezaji yaani Arsenane.
Umevamia mkuu...uwe mvumilivu.Acha upumbav ww..
Huyu Mkhit mtamkubuka sana tu. Mtatamani kumnunuw zaid ya 100.Ila hatujamfanyia haki mkhitaryan kalazimishwa kwenda arsenal kishaaga kesho sanchez atatangazwa jamaa kaondoka uwanja wa mazoezi akilia so sad japo tunamfurahia sanchez ila sijui kwa nini walimtanguliza huyu mchezaji wetu kwa nini wasingewapa arsenal hata £50 mana ile jezi wiki moja tu zinarud
Ili upate kilicho bora zaidi lazima ukubali kupoteza kilicho boraHuyu Mkhit mtamkubuka sana tu. Mtatamani kumnunuw zaid ya 100.
kaangalie mechi ya arsenal sahivi kisha ufunge hilo kopo la kuogea..Umevamia mkuu...uwe mvumilivu.
Hapa tunaizungumzia timu ambayo ni Man Utd na siyo kundi la wachezaji yaani Arsenane.
Kwa hiyo hamumfukuzi tena professor of failurekaangalie mechi ya arsenal sahivi kisha ufunge hilo kopo la kuogea..



wiki tatu zilizopita alipewa suspension.... hivyo hakucoach yy....leo karudi una swali????Kwa hiyo hamumfukuzi tena professor of failure![]()
Kwa ujinga wenu huu hamtaweza kumtoa huyo babu hapo..na miaka yote mtaishia kugombania nafasi ya 4 kila msimu.wiki tatu zilizopita alipewa suspension.... hivyo hakucoach yy....leo karudi una swali????
Naona una washwa washwaBurnley pigaaaa piga kabisa....
Akifunga utakaa kimya tuHuyu Martial atauzwa liniiii??
Mou asitufanyie hivi aseee.pumbav...au kisa we ulimaliza wa sita...Kwa ujinga wenu huu hamtaweza kumtoa huyo babu hapo..na miaka yote mtaishia kugombania nafasi ya 4 kila msimu.