Recent content by mayala luswetul

  1. M

    Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Limonga Justine Limonga,Muhili Obare,Hassan Marejeta, Chiza Wa Chiza n.k
  2. M

    CCM: Dharura Kamati Kuu & NEC, Kuna Nini Huko?

    Ni sawa mh subira yavuta heri
  3. M

    Mgeni Hapa

    mimi niko mrengo wa kulia lakini karibu saana
  4. M

    waziri Mpenda ngono

    mtoa hoja si vibaya uende kwa mtumishi wa mungu ili uombewe upate kuacha kuyafikiria mambo ambayo ni ya binafsi zaidi na hasa haya ngono. USIIKARIBIE ZINAA...
  5. M

    Je nimpe talaka au nifanyaje

    Hii ni tabia ya mkeo, ya kwako ikoje? Nasema haya ili wana jf waweze kuchambua pumba na mchele.
  6. M

    Mdoli mkubwa wa ngono wa kike wazinduliwa

    PC yangu ilikuwa haijafunguka sawasawa na ndiyo maana nikaomba picha tuione lakini mashindano na muumba hayafai
  7. M

    Wapi wameandika mapenzi ya MUNGU mtu kufa?

    Tafakari neno kuzaliwa na kisha ujiulize kuhusu kufa na kilicho na mwanzo kina mwisho.
  8. M

    Mshaurini mtangazaji huyu

    kizuri huigwa kibaya hupotezewa
  9. M

    Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

    Tuacheni haya tuchape kazi
  10. M

    Hongera Serukamba!

    Mmmhhh!!! fanya uchunguzi wa kutosha
  11. M

    Watanzania hawana adabu kumsema Rais!

    Badilisha kichwa cha habari kwenye ujumbe wako pamoja na kuwa hapa jf ni dare to talk hili neno adabu limetumika ndivyo sivyo, nina imani jf wachangiaji wote wako safi isipokuwa wewe ndiyo huna adabu. hebu jiulize rais anakwenda Jamika kwenda kuonana na mwanamziki kama aliyemwacha nchini kwake...
  12. M

    Kikwete afanye nini Kuuokoa Urais wake?

    mzee wetu kwa kuwa umetaja kuwa ziko sababu 51 ni vema ungezitaja zote nasi tukaongezea kama kuna zingine ambazo wewe hauna taarifa nazo.
Back
Top Bottom