waziri Mpenda ngono

Nenda kamshitaki kwa Kikwete kuwa waziri wake hana maadili anapenda ndogondogo uone kama atakusikiliza!!


Hivi wewe kweli ukamshitaki kwa kaka,mhhhh naguna kwanza maana wapemba wanajuana kwa vilemba kaka...ni kahoja tu wajameni.
 
Kama kuna mahali kautumia uwaziri kufanya ngono utujuze.....sivyo kaa kimya milele!
 
mtoa hoja si vibaya uende kwa mtumishi wa mungu ili uombewe upate kuacha kuyafikiria mambo ambayo ni ya binafsi zaidi na hasa haya ngono. USIIKARIBIE ZINAA...
 
Back
Top Bottom