Wapi wameandika mapenzi ya MUNGU mtu kufa?

GOD ALMIGHTY does exist if you want a reference ask the dead where and what are they facing.
 
Swali lako ni gumu, kwa sababu halina jibu la mkato.Ukisema neno Mungu ni general sana,maana kuna mungu jua,mungu ng'ombe,Jehova,Alah na wengine wengi tu.Na kila mmoja hapa anaabudiwa kwa taratibu na neno la kwake.

Mi nitachangia kidogo nikitumia Biblia(Jehova ndie Mungu wangu). Hatutambui mapenzi ya Mungu kwa kuhisi au kujisikia bali kwa kutumia neno lake.

Katika kitabu cha Mwanzo tunaona haya:
Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa Bwana; na Bwana akamwua." (Mwanzo 38:7-7).

Ukikurupuka katika msiba wa mtu kama Eri utasema ni mapenzi ya Mungu.

Mapenzi ya Mungu ni haya

"Waambie, Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, sikufurahii kufa kwake mtu mwovu; bali aghairi mtu mwovu, na kuiacha njia yake mbaya, akaishi. Ghairini, ghairini, mkaache njia zenu mbaya; mbona mnataka kufa,......... (Ezekieli 33:11-11).

Kwa hivyo ni vigumu mtu mwovu akifa ukasema ni mapenzi ya Mungu.

Ukisoma ktk kitabu cha Ayubu, shetani aliuwa watoto wa ayubu!.

Sina muda wa kuandika mengi ila juwa jambo hili
kwa mtu mkristo aliyeokoka na mtakatifu
"kuishi ni Kristo na kufa ni Faida"
 
Wabs,

As a scholar, naomba unipe perspective yako.

Kama mungu huyu wa Judeo-Christian tradition ana uwezo wote, na ana upendo wote, na aliweza kuuumba ulimwengu huu vyovyote vile alivyopenda, kwa nini kaumba ulimwengu wenye evil?

Ina maana alilazimika kuuumba ulimwengu huu na hii evil, au hakulazimika?

Kama alilazimika, je kweli huyu mungu anaweza kila kitu?

Kama hakulazimika, kwa nini kauumba ulimwengu wenye evil? Huoni kwamba kaumba ulimwengu ambao inevitably some of us tutakuwa overwhelmed na the forces of evil?

On that same question, je mungu aliweza ku create kitu asichoweza ku create?

Kama aliweza, doesn't that mean kwamba kuna kitu hataweza by virtue of the fact that he created something that he cannot create?

Kama hawezi je kweli huyu mungu anaweza kila kitu?

I adore your question, I real is.

But will you have openmind for this?

I am afraid the very same strength you are using in evolution things you need to use in bible thing

back to the question;


Satan is the author of sin!

Satan was an angel and he fall in sin, and he and his followers(angels)Ezekiel 28:15 ,Ezekiel 28:17, was thrown down to earth kwenye pits.Jude 1:6


World was good and perfect after creation.Kumbuka shetani alifanya dhambi after human creation-(spiritually)

Binadamu amaumbwa kwa mfano wa Mungu, can decide, think, create, see, hear, emotion etc, exactly like God, tofauti ni kuwa kama mwanadamu anaona kwa macho mawili, Mungu yeye ni unexplainable.

1. Mungu alimuumba mwanadamu for his pleasure and Glory
2. Mwanadamu kaumbwa kama shahidi , sisi ni mabalozi, we are in the position te decide after all in this life, who is wrong between satan and God!

Mwanadamu akafanya dhambi ya kiburi na uasi from very beginning, na baada ya anguko Mungu Mungu akaweka ahadi ya ukombozi.why? because for God to destroy satan who sinned he too have to do the same thing for man. God was ot happy when man sinned, he was sad, he trusted on us the same way he did to Lucifer!. But he is in love with us! Thats why issue of redemption through Jesus is all about, to regain our birthright.Not from any prophets or what but through himself!

Dunia haikuwa mbaya, haikuwa evil, haikuwa na magonjwa baada ya anguko letu all those came.we are now heading to the new world, na awatakaoenda huko ni wale wanaokubali redemption of Jesus christ.

Mungu anaweza kudestroy dunia yote hata leo, lakini hataki mtu afe katika dhambi.

God gave us precious gift ya kufanana na yeye, we are miracle

Lord, I praise you because I am fearfully and wonderfully made; your works are wonderful, I know that full well!"[SIZE=-1] (Psa. 139:14)[/SIZE]

Today satan anad human are blaming God because he created them! tumeasi Mungu, hatufuati anayosema, ameshatuonya tukifanya hivi tutapata mabaya haya na haya. WHEN ALL THOSE BAD THINGS ARE HAPPENING to us TUNAMLAUMU Mungu, kwa nini ulituumba!!1

is our living not real good and enjoyable? if Yes why shouldnt we cherish life and obey who authored us??

YES HE CAN DO ALL THINGS AND ONE OF THEM IS TO CREATE HUMAN WHO HAS INDEPENDENT MIND AND DECISION LIKE HIM!

So God created man in his own image, in the image of God he created him; male and female he created them."[SIZE=-1] (Gen. 1:26,27)[/SIZE]

Is God not Good?

You know the technique now!!

Mungu kwa nature yake hana dhambi na hana compromise na dhambi. mwanadamu ameshashindwa kuishinda dhambi.HE himself is replacing human will and soul to overcome SIN, when the day of judgement come, he want us to be clean and to rejoin him..thats is the mission of Jesus.
 
Mungu basically ni idea fulani hivi ya kitu ambacho hakipo.

Societies primitive zilipokuwa zinashindwa kuelezea kitu chochote kile, iwe radi, mvua kifo etc, zilisema kwamba hiyo ni kazi ya mungu.

Jinsi tunavyoelimika zaidi tunaona kwamba mungu hayupo, ni hadithi tu za watu wa kale ambazo ni ngumu sana kuziacha kwa sababu ya tradition, na sisi binadamu tunapenda kuwa na matumaini kwamba kuna kitu kikubwa zaidi yetu kinatulinda na kutuangalia, hasa kwa sababu tunalelewa na wazazi tangu watoto.

Lakini regardless ya vitabu hivi ancient vinasema nini, mungu ni idea iliyotengenezwa na binadamu, hayupo na wala hajawahi kuwepo.

Ndiyo maana kuna controversies nyingi sana kuhusu mungu, kwa sababu waliomtunga waliishi katika ulimwengu wa giza na hawakuweza kujua mambo mengi sana tunayojua leo.

Ukijua kwamba mungu hayupo hizi habari za mungu kamtwaa nani sijui nini wala haziwezi kukubabaisha, utajua tu watu wanakufa kwa ugonjwa wa moyo, na ajali za gari, na risasi, na wengine ni the breaking down of the body due to age according to the laws of entropy and the second law of thermodymanics, hamna cha mungu wala shetani.

Sanasana mungu na shetani ni wewe mwenyewe binadamu, na mbingu na moto viko hapahapa duniani, na kifo ndio mwisho wa mchezo kwako.


''God designs what only God can design. The rest is delegated to lesser beings who design lesser things. In being the greatest being of all, God therefore designed only the greatest things of all, that which cannot be created by any other being in existence. That thing is existence itself.
Lesser beings design only what lesser beings can design. Those beneath them lack the ability to create the same, and those above them would be interfering with the purpose of Creation if they denied lesser beings the opportunity to advance through exploration of their own potential.
Therefore higher beings don’t interfere with what is only for lower beings to do, and lower beings can’t interfere with what only higher beings can do. Therefore everything is designed only by the lowest order of intelligence that can design it. Therefore God did not design everything in existence.
God designed existence but does not micromanage it. Through the freewill and intelligence of conscious beings inhabiting that existence, existence continues designing itself. God is both beyond existence as a singular infinite being who created it, and within existence as the total plurality of finite beings experiencing it. This is about an infinite being exploring its infinite potential through an infinity of finite beings''-JesusL 2010

The inteligent system that God designed is self-developing system, it is self created system after he has initiated the beginning, ndiyo maana leo hii nitakuwa na wajukuu after me!
 
japokuwa sikubaliani na mtazamo wa bluray katika hili,
naamini ni vyema "kushambulia" hoja yake na sio yeye binafsi.
 
mama mia huyu mtu (bluray) anafundishika.

manake siamini kuwa haya anayobwabwaja hapa jamvini alitoka nayo tumboni mwa mama yake, lazima kuna mahali alifunzwa na kufundishwa. anachokosea njia ni kwamba kawaamini waliomfundisha hadi kawafanya miungu yake ya maarifa na wakati huohuo akijicontradict kuwa hakuna mungu. jinsi anavyowaamini wanafalsafa, nadhani kama wangekuwa mashoga (ashakum si matusi) nae angekuwa shoga (kama si shoga kwa sasa).

manake anachukua kila kitu tena from the face value, bila ku-digest na ubongo wake. ubongo wake wa thamani kaupeleka likizo ya muda usiojulikana bila sababu yoyote. na kutokana na likizo hiyo sasa anasambaza upuuzi wa kukosa fikra huru humu jamvini,

ndio maana nasema tumuombee na kila tukipata fursa tusiogope kumfundisha walau kidogo. anafundishika huyu!
Pamoja na yote wewe jaribu kumsema mungu wake wa kiarabu anaitwa allah utamsikia anavyobadilika!
 
mama mia huyu mtu (bluray) anafundishika.

manake siamini kuwa haya anayobwabwaja hapa jamvini alitoka nayo tumboni mwa mama yake, lazima kuna mahali alifunzwa na kufundishwa. anachokosea njia ni kwamba kawaamini waliomfundisha hadi kawafanya miungu yake ya maarifa na wakati huohuo akijicontradict kuwa hakuna mungu. jinsi anavyowaamini wanafalsafa, nadhani kama wangekuwa mashoga (ashakum si matusi) nae angekuwa shoga (kama si shoga kwa sasa).

manake anachukua kila kitu tena from the face value, bila ku-digest na ubongo wake. ubongo wake wa thamani kaupeleka likizo ya muda usiojulikana bila sababu yoyote. na kutokana na likizo hiyo sasa anasambaza upuuzi wa kukosa fikra huru humu jamvini,

ndio maana nasema tumuombee na kila tukipata fursa tusiogope kumfundisha walau kidogo. anafundishika huyu!


mkuu kaama atafundishika atakuwa mmoja waliobahatika 2010
nimesoma mada zake nyingi sana haamini mungu yupo anyway
labda amesoma sana kama kingunge ama lah!!!anyway nitazidi kumuombea mungu mkuu ila na wewe usimwache maombini;unajua kuna mapepo mengine ayamtoki mtu mpaka uyataje majina moja lapo ni la uzinzi;sasa hili la kumkana mungu sijui linaitwaje jamani tulikatae kwa ndugu yetu
 
Pamoja na yote wewe jaribu kumsema mungu wake wa kiarabu anaitwa allah utamsikia anavyobadilika!
allah kumbe yuko kwenye watoto mamamdogo loh pole!!!
kaka nishajua sababu za huyu bwana;sasa mbona aamini mungu huyu
allah ni m'kijiji ama mama mia??embu atausaidie
 
..........ngoja mie niongezee na swali lingine juu ya swali,je watu wasiomwamini ''Mungu'' ni wote watapata adhabu ya jehanamu kwa mfano wahindu,wapagani,mabudha na wengine wengi sana duniani ambayo imani yao haipo kwa ''Mungu''.......
 
Back
Top Bottom