Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

Status
Not open for further replies.
Hujasikia wapi mkuu? unataka kuniambia kwamba hufahamu ya kuwa wakristo wanaotoa mapepo wanafanya kibiashara zaidi ndo maana inaoneshwa hadi kwenye ma-tv? kama una ndugu anasumbuliwa na mapepo, sema nitakupa namba ya masheikh wanaotoa mapepo kwa kuran, sio mbali ni hapo kigogo na mwingine yupo mkuranga. Hawana haja ya kujianika kwenye ma-tv na viwanja vya jangwani kwavile uislamu hautafute waumini kupitia kutoa mapepo. In addition, waislamu wanaotoa majini wanatumia kurani, kitabu kitakatifu na sio muhammed. kwahiyo kwa kukujibu swali lako, kuna masheikh kibbao wanaotoa mapepo, lakini sio kwa mbwembwe na matangazo kama akina kakobe!!

Ni kweli Waislamu hawatoi mapepo kwa jina la Mohamed. Wakristo ni kiboko yenu. Wanatoa mapepo kwa jina la Yesu. Halafu ni dini iliyotulia. Una uhuru wa kuwa Mkristo na una uhuru wa kwenda dini yoyote unayotaka na hakuna atakaye kukata kichwa. Lakini Uilsmau, lo!
 
Hakuna Mola apasaye kuabudiwa kwa Haki isipokuwa Allah. maana yake wakati Rasul Mohammad watu walikuwa wanaabudia masanamu na wanawafanya kama miungu. Ndipo Rasul alipoletewa wahyi wa kuikana miungu yote hiyo kwa kusema hakuna mola apasaye kuabudiwa . Kisha baada ya kuwakana hao ndipo ukatoka mwongozo kuwa anayepaswa kuabudiwa ni ALLAH pekee ambaye hana mshirika, hakuzaa wala hakuzaliwa.

BC na AD ni miaka ya kikristu lakini waislam tuna miaka yetu inaitwa Hijria. Hii ni miaka inayoreflect kwa mwandamo wa mwezi na ipo iliyokamilika.Kwa mantiki hiyo kalenda ya kiislam na matukio yanafata kalenda ya kiislam.

Swali kwako Je ni kweli Yesu mnaedai kuwa ni Mungu alizaliwa 25 dec?

Kwanini mnakufuru namna hii kwa kudai kuwa hakuna MOLA?!!
 
Hawa jamaa inafikia kipindi hata lugha pia inabidi wafundishwe...!
 
Kwa hiyo?

Still ujajibu swali nililo kuuliza... unaruka ruka tu.

Kwani ni lini mtu wa imani yako anaweza kuelewa kama ameshajibiwa au bado? Hata kama jibu utaliona, bado utajifanya hujajibiwa. Ndivyo mlivyo!
 
Hujasikia wapi mkuu? unataka kuniambia kwamba hufahamu ya kuwa wakristo wanaotoa mapepo wanafanya kibiashara zaidi ndo maana inaoneshwa hadi kwenye ma-tv? kama una ndugu anasumbuliwa na mapepo, sema nitakupa namba ya masheikh wanaotoa mapepo kwa kuran, sio mbali ni hapo kigogo na mwingine yupo mkuranga. Hawana haja ya kujianika kwenye ma-tv na viwanja vya jangwani kwavile uislamu hautafute waumini kupitia kutoa mapepo. In addition, waislamu wanaotoa majini wanatumia kurani, kitabu kitakatifu na sio muhammed. kwahiyo kwa kukujibu swali lako, kuna masheikh kibbao wanaotoa mapepo, lakini sio kwa mbwembwe na matangazo kama akina kakobe!!
mashehe wachawi wanatoa mapepo kwa kutumia uchawi, wanachofanya, wanaingiza pepo kubwa zaidi kwenye huyo mtu ili likafukuze mapepo madogomadogo yaliyoko kwenye mtu huyo. hakika yake ikifika muda kidogo, lile kubwa lililowekwa ndani yake, linamla kabisa yule mtu. hakika yake, mashehe wa kiislam ni wachawi sana, na wanapata cheo kwa ngazi za kichwawi, how mchawi you are.
 
Ni kweli Waislamu hawatoi mapepo kwa jina la Mohamed. Wakristo ni kiboko yenu. Wanatoa mapepo kwa jina la Yesu. Halafu ni dini iliyotulia. Una uhuru wa kuwa Mkristo na una uhuru wa kwenda dini yoyote unayotaka na hakuna atakaye kukata kichwa. Lakini Uilsmau, lo!
Kwanini ulitaka watoe kwa jina la muhammed mkuu? Lazima ujue, waislamu hawamwabudu mtume mohammed SWA, bali wanamuabudu allah SWT. kwa waislamu, kila kitu tunakitegemea kwa mungu na ndio maana mapepo yanatolewa kwa quran!!! Nyinyi na kupotoka kwenu ndiko kulikowafanya mumtangulize yesu na kumsahau mungu wa viumbe vyote!!! Kabla ya yesu, kulikuwa na viumbe, pamoja na binadamu na mitume vilevile-kuanzia nabii adamu hadi musa!! hawa wote walikuwepo kabla yesu hajakuwapo duniani. Sasa Adam, Ibrahimu, Musa na wengine kama hao waliubwa na nani? hivi inahitaji hadi usome theology ili ujue kwamba aliyewaumba Adam, mussa, ibrahimu na wengine na ndie huyo huyo aliyemuumba yesu? sasa inakuwaje aliyeumbwa ndie awe na nguvu kuliko muumbaji? au kinachokutisha na kumuona ni mungu kule kuzaliwa bila baba? kama ndivyo, utasemaje kuhusu nabii adam? ungekuwa msomaji wa mzuri hata wa vitabu vyako, ungegundua waliozaliwa kimiujiza si yesu peke yake!!! unataka kusema hujayaona maandiko wakati ibrahimu anshangaa kwamba angeweza vipi kuzaa mtoto wakati mke wake(sarah) na yeye mwenyewe wameshafika umri wa kuweza kuzaa? Open up your eyes, mtadanganywa hadi lini? Huwezi kutanguliza kila kitu kwa yesu wakati huyo yesu nae kaumbwa kama walivyoumbwa viumbe wengine. Ni kupotoka kulikoje kumfanya aliyeumbwa ndio mkuu kuliko muumbaji?
 
mashehe wachawi wanatoa mapepo kwa kutumia uchawi, wanachofanya, wanaingiza pepo kubwa zaidi kwenye huyo mtu ili likafukuze mapepo madogomadogo yaliyoko kwenye mtu huyo. hakika yake ikifika muda kidogo, lile kubwa lililowekwa ndani yake, linamla kabisa yule mtu. hakika yake, mashehe wa kiislam ni wachawi sana, na wanapata cheo kwa ngazi za kichwawi, how mchawi you are.

We ndo unaonekana ni mpayukaji usiejua A wala Be, sana sana unapayuka kwa kusaidiwa na mambo ya kusikia vijiweni zaidi badala ya kufanya utafiti.ndo kwanza nakusikia wewe kwamba mtu anaingizwa pepo mkubwa zaidi ili akawafukuze mapepo wadogowadogo!!!! mapepo makubwa na madogo kiumri, umbo, au kivipi? Labda nikusaidie jambo moja, kwenye Uislamu hamna mkubwa zaidi ya mungu, tofauti na nyinyi ambao tayari kuna mitume, akina mungu na kadhalika! isitoshe, wote mnaenda peponi kwavile tayari YESU alishakufa msalabani kwa ajili ya dhambi zenu (ni umbumbumbu ulioje!).Na ndio maana vilevile miongoni mwenu tayari kuna watakatifu!! Lakini katika uislamu, utakatifu wa mtu anaujua mungu na si yeyote yule. Sasa kama kuna sheikh anayetoa majini kwa uchawi, huyo ni yeye na shetani wake kwa sababu amemshirikisha allah! Ukumbuke, sheikh, ni binadamu kama mimi na wewe, na nafanya dhambi kama unavyofanya wewe, au mimi! Ikiwa mitume wa mungu walikuwa wanafanya dhambi, seuze sheikh mganga njaa?! Jambo la msingi hapa, je binadamu yeyote yule( sio sheikh) ana hukumu gani katika ushirikina kama wa hao masheikh unawasema. Na jambo lengine, ni je waisalmu wanatoa majini? jibu umeshapatiwa. Uchawi katika uislamu moja ya shirki kubwa sana mbele ya allah.
 
Ndugu zangu wachangiaji wa hii mada ya mihadhara, napenda tu kusema ukweli hawa wenzetu waislamu ni watu wa ajabu sana. Tunachokisema ni kwamba hatuko against waislamu bali against uislamu. Wao waislamu wamekuwa hivyo kulingana na walichofundishwa kutoka kwenye vitabu vyao vya dini, ikiwemo qoran, hadith za mtume na sunnah. Hivyo vitabu vyote vitatu vinaingiliana na kuwa kitu kimoja katika kujenga hoja zao.

Mara nyingi waislamu katika mihadhara wanatumia muda mwingi kuisoma na kuikashifu bibilia, wanafikiri kwa kufanya hivyo ndio kuendeleza na kuimarisha uislamu unaoporomoka? Wanaobisha uislamu hauporomoki wajitose kupinga halafu tuianze hiyo mada kwa kirefu na vielelezo, na wenyewe watoe zao kuelezea kama ukristo ndo unaoporomoka kwa vielelezo.

Mimi binafsi kwanza niseme tu uislamu siyo dini ya kweli bali ni cult na Mtume Mohamad alichokihubiri hakikutoka kwa Mungu wa kweli, Mungu wa Huruma, Upendo, Muumba wa vyote nk. Bali aliyoyahubiri Mohamad kulingana na mafundisho yake hakika yale ni mafundisho ya kishetani. Kama waislamu wanabisha na lazima watabisha tuanze kumwangalia huyo Mtume wao alihubiri na kueneza mafundisho gani? Tuingie indeep kwa kutumia academic or intellectual debate.

Mara nyingi waislamu wanasema Ukristo na Uislamu ni sawa ila ni vitu vidogovidogo tu vinapishana. Hayo si maneno ya kweli. Uislamu ni kitu kingine kabisa na Ukristo ni kitu kingine. Ebu tuangalie tu kwa uchache wa juujuu. Mungu wa Waislamu anawaruhusu wanaume wa kiislamu kuoa mke mmoja hadi wanne. Mungu wa wakristo anaruhusu mke na mume mmoja tu. Mungu wa waislamu anawaruhusu wanaume wa kiislamu kuachana na wake zao kwa kuwapa talaka 1, 2 au 3 kadiri wajuavyo wao. Mungu wa wakristo haruhusu wanandoa kutengana. Mungu wa waislamu kawambia msile kile wala hiki kwa kuwa ni haramu . hiyo ni mada ndefu lakini kwa wakristo hususan katika mafundisho ya Kristo Bwana Yesu aliwambia akisema kila kilichoumbwa na mwenyezi Mungu ni halali na kimebarikiwa. Haramu yako ni kile unachokula kikakudhuru wewe mwenyewe binafsi. Hiyo ndiyo haramu yako. Kama hudhuriki haramu hiyo inatoka wapi?

Mimi binafsi nikinywa maji ya mananasi au nanasi lenyewe nikatapika hiyo ndiyo haramu yangu. Mwingine akala samaki akavimba mwili hiyo ndiyo haramu yake. Hivyo basi kwa mifano hiyo kidogo tu niliyoitoa hapo inatosha kutuambia kwamba haiwezekani Mungu huyo mmoja waislamu wanaemsema kuwa mmoja, akiwa kwa waislamu anawapa mafundisho hayo. Akiwageukia wakristu anawapa mafundisho mengine tofauti. Hilo haliwezekani, hivyo basi hao lazima wawe Mungu wawili tofauti kabisa, na mmoja lazima awe wa kutiliwa shaka kwa maneno yake au kwa kifupi huyo atakuwa mungu wa uongo ambae ndiye shetani.

Hiyo nayo ni mada nyingine ya kujitegemea, kama waislamu wanataka tumchambue Mtume Mohamed na mambo aliyoyafundisha aliyopewa na mungu wake Allah na tuko tayari. Na Wakristo wako tayari kuelezea mafundisho ya Bwana wao Yesu Kristo. Mafundisho yao yawekwe wazi na kasha wasomaji watatoa maamuzi yao wenyewe.
nanyuki
 
Nanyuki umenena!! Uislamu ni uchawi. It is a syncretistic religion. Ni dini ya mauzauza, na wote waliomo humo wana sifa moja kubwa: UBISHI, UKAIDI, UWONGO, MAJIVUNO, NA UKATILI uliopindukia mipaka. Wabishe!
 
Nanyuki umenena!! Uislamu ni uchawi. It is a syncretistic religion. Ni dini ya mauzauza, na wote waliomo humo wana sifa moja kubwa: UBISHI, UKAIDI, UWONGO, MAJIVUNO, NA UKATILI,KUJIDHARAU,WIVU, UVIVU, VISASI, UAJI, FLASE HOPES, uliopindukia mipaka. Wabishe!
...
 
Kwa kweli wanaudhi coz utakuta wanafanya hivyo mpaka mida ya saa nne usiku n maspika yao yana kelele kweli! Nakumbuka kipindi cha Mkapa walidhibitiwa lakini tangu aingie Mjomba......... imekuwa ndy wamefunguliwa.

Kipndi cha Mkapa walidhibitiwa Waislam kwa sababu Mkapa alikuwa hawapi watu Uhuru watu wa dini alikuwa anajuwa hao wahubiri wanasema ukweli lakini yeye mkapa kwa kuwa alikuwa Rais ndio alitumia Nguvu yake kuwadhibiti Waislam lakini kashindwa na Uislam utaenda mbele hata aje nani kujaribu kuuzia hataweza kitu dini ya haki ndio itakuwa mshindi ingawa makafiri watachukia
 
kwa hiyo wanayoyafanya unakubaliana nayo?
 
Kwanini ulitaka watoe kwa jina la muhammed mkuu? Lazima ujue, waislamu hawamwabudu mtume mohammed SWA, bali wanamuabudu allah SWT. kwa waislamu, kila kitu tunakitegemea kwa mungu na ndio maana mapepo yanatolewa kwa quran!!! Nyinyi na kupotoka kwenu ndiko kulikowafanya mumtangulize yesu na kumsahau mungu wa viumbe vyote!!! Kabla ya yesu, kulikuwa na viumbe, pamoja na binadamu na mitume vilevile-kuanzia nabii adamu hadi musa!! hawa wote walikuwepo kabla yesu hajakuwapo duniani. Sasa Adam, Ibrahimu, Musa na wengine kama hao waliubwa na nani? hivi inahitaji hadi usome theology ili ujue kwamba aliyewaumba Adam, mussa, ibrahimu na wengine na ndie huyo huyo aliyemuumba yesu? sasa inakuwaje aliyeumbwa ndie awe na nguvu kuliko muumbaji? au kinachokutisha na kumuona ni mungu kule kuzaliwa bila baba? kama ndivyo, utasemaje kuhusu nabii adam? ungekuwa msomaji wa mzuri hata wa vitabu vyako, ungegundua waliozaliwa kimiujiza si yesu peke yake!!! unataka kusema hujayaona maandiko wakati ibrahimu anshangaa kwamba angeweza vipi kuzaa mtoto wakati mke wake(sarah) na yeye mwenyewe wameshafika umri wa kuweza kuzaa? Open up your eyes, mtadanganywa hadi lini? Huwezi kutanguliza kila kitu kwa yesu wakati huyo yesu nae kaumbwa kama walivyoumbwa viumbe wengine. Ni kupotoka kulikoje kumfanya aliyeumbwa ndio mkuu kuliko muumbaji?

Waislamu wanashindwa kuelewa kuwa Yesu Kristo siyo
sawa na Mohamed.Yesu ana sifa za Kimungu. Mohamed hana hizo sifa.

1. Miraclous birth (Luke 1:26-38).
2. He's eternal. Not created but proceeds from God: John 1:1-18.

"Look, he is coming on the clouds; every one will see him, even those who pierced him, and all the races of the earth will mourn over him. Indeed this shall be so. Amen. 'I am the Alpha and the Omega,' says the Lord God, who is, who was, and who is to come, the Almighty. (Revelation 1:7-8).

3. He's from above but we are from below: Jesus said: "You are from below; I am from above. You are of this world; I am not of this world. I have told you already; You will die in your sins. Yes, if you do not believe that I am He, you will die in your sins." (John 1:23-24).

4. To see (recognise) Jesus is to see (recognise) the Father: Jesus said: "I am the Way; I am Truth and Life. No one can come to the Father except through me. If you know me, you know my Father too... Anyone who has seen me has seen the Father... (John 14:6-9).

5. Jesus and the Father are one: Jesus said: "Do you not believe that I am in the Father and the Father is in me? What I say to you I do not speak of my own accord; it is the Father, living in me, who is doing his works. You must believe me when I say that I am in the Father and the Father is in me..." (John 14:10-11).

6. Jesus talks of the Holy Trinity and his word is God's word: "Anyone who loves me will keep my word, and my Father will love him, and we shall come to him and make a home in him... but the Paraclete, the Holy Spirit, whom the Father will send in my name, will teach you everything and remind you of all I have said to you." (John 14:23-26).

7. Jesus lives for ever. He said: "All authority in heaven an on earth has been given to me. Go, therefore, make disciples of all nations; baptise them in the name of the Father and of the Son and of the Holy Spirit (Trinity), and teach them to observe all the comands I gave you. And look, I am with you always; yes, to the end of time." (Matthew 28:18-20).

8. Jesus forgives sins (Luke 7:36-50; John 8:1-11) and he is the light of the world: "I am the light of the world; anyone who follows me will not be walking in the dark, but will have the light of life." (John 8:12).

So, since Jesus was born miraclously, what prevents him from being God-man in a similar manner? Because humanly speaking looks impossible but before God everything is possible as his miraclous/virignal birth!

Kwani ni lini mtu wa imani yako anaweza kuelewa kama ameshajibiwa au bado? Hata kama jibu utaliona, bado utajifanya hujajibiwa. Ndivyo mlivyo!
Nilifikiria utamsaidia kujibu swali kumbe na wewe ni zaidi yake...yaani hamna kitu.
 
Waislamu wanashindwa kuelewa kuwa Yesu Kristo siyo
sawa na Mohamed.Yesu ana sifa za Kimungu. Mohamed hana hizo sifa....
Kweli umechanganyikiwa kama haya niliyo yakuta kwenye KJV.

Mk 15:26 -------> MFALME WA WAYAHUDI

Lk 23:38
-------> HUYU NDIYE MFALME WA WAYAHUDI.

Mt 27:37
-------> HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.

Jn 19:19-20
----> YESU MNAZARETI, MFALME WA WAYAHUDI.
 
Nilifikiria utamsaidia kujibu swali kumbe na wewe ni zaidi yake...yaani hamna kitu.

Mbona hujamsaidia kujibu swali wewe uliye na kitu? Utamsaidiaje mtu asiyetaka kuelewa, si ni kupoteza muda tu?
 
Waislamu wanashindwa kuelewa kuwa Yesu Kristo siyo
sawa na Mohamed.Yesu ana sifa za Kimungu. Mohamed hana hizo sifa.

1. Miraclous birth (Luke 1:26-38).
2. He's eternal. Not created but proceeds from God: John 1:1-18.

"Look, he is coming on the clouds; every one will see him, even those who pierced him, and all the races of the earth will mourn over him. Indeed this shall be so. Amen. 'I am the Alpha and the Omega,' says the Lord God, who is, who was, and who is to come, the Almighty. (Revelation 1:7-8).

3. He's from above but we are from below: Jesus said: "You are from below; I am from above. You are of this world; I am not of this world. I have told you already; You will die in your sins. Yes, if you do not believe that I am He, you will die in your sins." (John 1:23-24).

4. To see (recognise) Jesus is to see (recognise) the Father: Jesus said: "I am the Way; I am Truth and Life. No one can come to the Father except through me. If you know me, you know my Father too... Anyone who has seen me has seen the Father... (John 14:6-9).

5. Jesus and the Father are one: Jesus said: "Do you not believe that I am in the Father and the Father is in me? What I say to you I do not speak of my own accord; it is the Father, living in me, who is doing his works. You must believe me when I say that I am in the Father and the Father is in me..." (John 14:10-11).

6. Jesus talks of the Holy Trinity and his word is God's word: "Anyone who loves me will keep my word, and my Father will love him, and we shall come to him and make a home in him... but the Paraclete, the Holy Spirit, whom the Father will send in my name, will teach you everything and remind you of all I have said to you." (John 14:23-26).

7. Jesus lives for ever. He said: "All authority in heaven an on earth has been given to me. Go, therefore, make disciples of all nations; baptise them in the name of the Father and of the Son and of the Holy Spirit (Trinity), and teach them to observe all the comands I gave you. And look, I am with you always; yes, to the end of time." (Matthew 28:18-20).

8. Jesus forgives sins (Luke 7:36-50; John 8:1-11) and he is the light of the world: "I am the light of the world; anyone who follows me will not be walking in the dark, but will have the light of life." (John 8:12).

So, since Jesus was born miraclously, what prevents him from being God-man in a similar manner? Because humanly speaking looks impossible but before God everything is possible as his miraclous/virignal birth!

kabla yesu hajazaliwa mungu alikuwa nani?
 
Mbona hujamsaidia kujibu swali wewe uliye na kitu? Utamsaidiaje mtu asiyetaka kuelewa, si ni kupoteza muda tu?
Tatizo umedandia mjadara katikati, hata ukusoma yaliyopita... Pole kijana!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom