Mshaurini mtangazaji huyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshaurini mtangazaji huyu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by NasDaz, Dec 12, 2009.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  I am serious, msahidieni mtangazaji huu!!! Bado ni kijana mdogo ambae bila shaka anahitaji mafanikio kwenye kazi yake, lakini tatizo lake si yeye. Kijana huyo wa makamo, ni mtangazaji wa kituo cha televevisheni cha Mlimani TV, sina hakika kama ni mtangazaji wa redio vile vile. Huyu mheshimiwa anaitwa Nurudini nani sijui lakini inaelekea anaipenda sana kazi yake. Ukimuona kwenye screen ya tv, anavutia tatizo ni kwamba hayupo original. Sio siri, endapo utamsikiliza bila kumuangalia, unaweza kuamini mtangazi aliye hewani ni Marini Hassani wa TBC 1! Kinachonifanya nimuhurumie zaidi, hata pozi zake ni 100% Marini Hassani? Marini Hassani ana pozi zake Fulani za uwekaji wa mkono, huyu bwana nae anafanya hivyo hivyo!!! Hoyaa mshikaji, nahisi unapotoka wangu, stop being a “wanna be!” Kwneye kioo unauzika man, but be yourself!!! Dah, sina hakika endapo ataupata ujumbe huu, lakini anayemfahamu amshauri mshikaji awe yeye kama yeye na si kama Marini Hassani!! Najua hili tatizo wanalo watu wengi, lakini kwa mshikaji naona ni kubwa zaidi; hadi pozi wangu?!
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  CHUKI BINAFSI HAIFAI...TUIACHENI JAMANI ITALETA TAFALANI
  nurdini selemani huyuhuyu tunayemfahamu anaiga kweli?
  kwani we mwandishi hujui mambo ya 'look alike'
  kuna watu wanafanana japo si lazima iwe kwa kila kitu
  wengine wanafanana sura....wengine kuongea.....wengine kichwa.....wengine kutembea....
  we kwako cha ajabu nini?
   
 3. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Niwe na chuki na m2 asiye na interest yoyote kwangu ili iwe nini? Simfahamu, hanifahamu na wala sipo kwenye media industry!!!sasa kwanini nimchukie? yule hajafanana na marini hassani hata kwa nukta moja, but he wanna be like marini hassani. kama unampenda, mshauri awe original kama anataka ku-advance kwenye kazi yake. hebu muangalie kwenye kipindi cha magazeti umuone. ni nini hicho alichofanana na marini hassani? ile sio "look like" bali ni "wan-nabe"
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Inaonekana bongo kuna shortage kubwa sana ya fun & entertainment. Yaani mtu kama anakuboa badala ya kumu-ignore unaanza kupoteza muda kumfungulia thread, tena JF? Mi nadhani muanzisha kuna kitu anakitafuta sio bure.
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  inaonekana imekutachi sana eeh!?!!!!
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  naamini kabisa unamfahamu sana nurdini.................na unamfahamu sana malini..............na inawezekana umetumwa na malini km sivyo na unaona anakuboa usiangalie kipindi chake..
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tune your TV to cartoon ama Gospel simpo!
   
 8. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ahahahaha..sasa kama marine hassan ndio role model wake wewe unataka dogo afanye nini cha ziada...kama ameweza kumgeza 100% marine hassan mie nadhani inabidi tbc 1 waanze kumfikiria kwenye ajira kuziba pengo la marine anayeelekea uzeeni plus kustaafu....

  natamani angekuwapo second nyerere aiongoze hii nchi..ila basi tu vijana wamemgeza sauti na SIO MATENDO NA MOYO SAFI KWA NCHI YETU....big up the upcoming marine hassan
   
 9. B

  Bumbwini Member

  #9
  Dec 12, 2009
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna tatizo kujifananisha na marin hassan marin hii inaonesha wazi marin anavyokubalika na anavyoijua vyema kazi yake,kwamaana hii marin ni mfano wa kuigwa tofauti na wale majuha wa television zanzibar waliomtosa marin kwa ujinga wao wakila kitu kuingiza siasa hata inafikia kuwapoteza wachapakazi mahiri sana kama marin hassan,hongera tbc kwa kumuona marin na kumleta kuchapa kazi tbc mpaka sasa tbc imekua juu na ni mfano wa kuigwa katika vituo bora vya televisheni barani afrika tbc mko juu ,bravvo tbc hongera marin na wadau wote wa tbc.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu yes kuiga kunaboa, je wewe ni real? wewe ndie NasDAz mwenyewe au na wewe umeiga hilo jina --- kama umeiga sasa na wewe siyo wannabe?
   
 11. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  mambo hayo....................mkuki kwa nguruwe kwa binadamu.......................
   
 12. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  unapoteza nguvu zako mkuu kumshauri mtu mwenye chuki binafsi,
  sasa kama huyo jamaa(mtangazaji) anamzimikia Marini Hasani kuna ubaya gani kuiga role model wako
  Nyerere role model wake alikuwa MAO na alimuiga mpaka suti
   
 13. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Hahahaha!!! hujui unaloongea kijana
   
 14. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #14
  Dec 12, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  NasDaz ni ufupisho wa majina yangu mkuu, therefor sijaiga popote
   
 15. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Haniboi wangu, ni ushauri tu for his own benefit. ningekuwa namfahamu ningeshamwambia kwamba ajitahidi kuwa yeye na si kama fulani; that's all!
   
 16. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #16
  Dec 12, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  kama hutajali naweza kukupatia my full cv na back ground yangu halafu kamuulize kama anamfahamu mtu kama mimi!! nasimamia na hoja yangu, kama unapenda maendeleo yake na unamfahamu, kamwambie awe yeye na si mwingine na atafika mbali.by the way, ya nini kuanza kushutumu wazee wa watu wangu?! huyo marine mwenyewe simfahamu zaidi ya kumuona kwenye tv, sasa atanituma vp? try to face facts badala ya kuweka jazba mbele. inawezekana una interest na huyo dogo ndo maana imeku-touch sana, but huo ni ushauri tu!
   
 17. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Sizungumzii muonekano, nazungumzia sauti. assume kuna interview kutafuta mtangazi na kutumia kigezo cha sauti- wewe utamchukua nani? original au artificial?
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Dec 12, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nway nimekuelewa braza..naona mambo ya weekend hayo.
   
 19. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #19
  Dec 12, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Binafsi simjui huyo jamaa na wala sijamfuatilia kihivyo.To be honest you have the point.Kama ni kweli anamuiga Marine hata kama ni model wake bado anatakiwa kuwa kama yeye,awe na staili zake ambazo zitamtambulisha katika fani yake.Anaeweza kumshauri hili ni vizuri akafanya hivyo.
   
 20. m

  mayala luswetul Member

  #20
  Dec 12, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kizuri huigwa kibaya hupotezewa
   
Loading...