Hongera Serukamba!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Mbunge wa Kigoma Mjini Peter Serukamba alitetea vyema hoja yake mwishoni mwa mwezi Novemba na ametunukiwa shahada yake ya Uzamili katika Utawala wa Biashara (MBA). Hongera..! Tunakusubiri kwenye Uzamivu! (picha namichuzi)

peter%2Bselukamba.jpg
 
Ni kijana wa Lowasa huyu.....acha kabisa....kimbelembele hasa wa mafisadi yuko kama makamba atafungwa au hata kufa ajili kutetea mafisadi
 
Ahaa huyu si ndiye erand boy wa Rost tamu na Lowasa yeye kawa mbunge kwa ajili ya mafisadi and Co kisa anaukimbia ulofa anataka naye awe tycoon mwe !
 
Ni kijana wa Lowasa huyu.....acha kabisa....kimbelembele hasa wa mafisadi yuko kama makamba atafungwa au hata kufa ajili kutetea mafisadi

Huyu ndio boi wa Mafisadi nambari one hata sidhani kuwa elimu hiyo aliyopata itamsaidia. Kigoma wananchi wamekwishamstukia hawamtaki kabisa kwa hiyo ubunge kwa boi huyu ndio umetoka itabidi wafadhili wake pengine wamtafutie Ukatibu Kata!!
 
Kambi ya mafisadi inazidi kupata vyeti..lowassa akiwa rais jamaa ni PM
 
Back
Top Bottom