Go on crying next
Mambo ya kubaka lugha za watu matokeo yake unajiaibisha tu. Andika kwa kiarabu (au kiboko haramu) labda maboko haramu wenzako watakuelewa vizuri.
Go on crying next
Meaning?
3. Hata aje malaika kutawala.
hata hazihitajiki kufika hamsini, watu ni kufikiri kitu kidogo tu..toka 2005 mpaka leo kuna nini mtanzania anaweza akasema kafaidika au kaona impact ya utawala huu?.tumeona Obama kaja tu juzi unaona kaanza kuweka health care reforms na mambo mengine mengi. Kwa JK hakuna jipya nchi ipoipo tu.....
Ataanza na MBOWE au Mengi wanaomfadhili.Orodhesha watu 51 wanaofaa kuchaguliwa if JK steps down...!!!
Mkuu sio yeye anatumiwa na matajiri zake.analipwa kwa kuandika haya mambo.ni tumbo ndio linalomsumbua kuandika haya.hizi ni hoja za kuleta chokochoko miongoni mwa watu. hamna maana hata kidogo. ongeza sababu nyingine 510 ziwe 561 hoja yako itapata nguvu kutokana na maamuzi ya watanzania siyo wahuni wa blog hii.
uhuru usio na mipaka ni vurugu. Rais wa zamani wa marekani siyo Klinton wala MABUSH aliwahi kusema DON'T ASK WHAT US WILL DO TO YOU; ASK WHAT WILL YOU DO TO US!
badala ya kuangalia kwa darubini kali nini Kikwete aliahidi na hajafany jiulize umefanya nini.....
am sorry kuita blog ya wahuni ..... sina jina jingine kuipa nadhani hili lafaa na siachi membership ng'oooooooooo
hizi ni hoja za kuleta chokochoko miongoni mwa watu. hamna maana hata kidogo. ongeza sababu nyingine 510 ziwe 561 hoja yako itapata nguvu kutokana na maamuzi ya watanzania siyo wahuni wa blog hii.

.........Huyu mwakani CCM watamchagua tena kugombea urais, maana hadi afikishe miaka 10 ya utawala.
Kwa akili ya wapiga kura wa Tanzania wataichagua tu CCM hata kama Kikwete hakufanya vizuri katika kipindi hichi alichotawala.Tatizo asilimia kubwa ya wapiga kura wapo vijijini, na huko vijijini hao wanachojua ni CCM tu chama cha Nyerere.
please tafadhali sana usimwite Rais wa watanzana anapiga bla bla bla na usimbeze sura aliyozaliwa nayo. kama wewe hakufai na nchi hii haikufai tafadhali tupishe kwa usalama. hii sasa too much how dare yo can just mock on the country's president easy that way. don't be fool nor stupid that much we have to adhere to respect to our leaders. they don't fit to we blog members, they fit to the rest millions tanzanians.
I will be hard now and onwards hadi kieleweke Rais wangu hawezi kutukanwa na watoto wadogo..... I chief says
CCM is corrupt alright,but not that ignorant.
Chuo kikuu cha dodoma hukioni? Au kimekuja chenyewe mkuu?
hizi ni hoja za kuleta chokochoko miongoni mwa watu. hamna maana hata kidogo. ongeza sababu nyingine 510 ziwe 561 hoja yako itapata nguvu kutokana na maamuzi ya watanzania siyo wahuni wa blog hii.
uhuru usio na mipaka ni vurugu. Rais wa zamani wa marekani siyo Klinton wala MABUSH aliwahi kusema DON'T ASK WHAT US WILL DO TO YOU; ASK WHAT WILL YOU DO TO US!
badala ya kuangalia kwa darubini kali nini Kikwete aliahidi na hajafany jiulize umefanya nini.....
am sorry kuita blog ya wahuni ..... sina jina jingine kuipa nadhani hili lafaa na siachi membership ng'oooooooooo
kimetoka uarabuni ... au umesahau?
Ataanza na MBOWE au Mengi wanaomfadhili.
Mkuu sio yeye anatumiwa na matajiri zake.analipwa kwa kuandika haya mambo.ni tumbo ndio linalomsumbua kuandika haya.
kanda2 said:Kama huamini muulize shehe Safari, hili jambo tuliliongelea sana juzi pale madrassa ya kurasini. Jamaa wanalipwa pesa nzuri kuliko sisi na wanapata totoz wazuri kuliko wakwetu hawa ambao hata mafuta hawajui..
Mimi uzalendo unanishinda bwana, kwa nini wenzetu wanafaidika na viwanja vya nguvu kama bills lakini sisi kila siku tunafungiwa tu hapa?
Nitabadili dini miye, jamani nitabadili dini miyeeee, ohhooooo
Umeingia lini CCM?huko umehama? kwenye mijadala mizito ya Chadema ambayo inahusu pande mbili ya Zitto na Mbowe,wewe lini uliandika au kutuma post kwa jina hili?kazi yako kuandika habari za CCM zenye ubaya na JK.Baada ya kutafakari sana, nimepata sababu 51 za kwanini Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama chetu Cha Mapinduzi aamue kutoshiriki kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu mwakani. Ninajua kwamba ni "mtaji" kwa upande wa kina Makamba na vile vile ana "sura nzuri" na bla bla bla..
Sasa kati ya hizo 51 nitaanza na zile mbili za mwisho yaani ya 50 na 51. Bila ya shaka na wewe unaweza kuwa na za kwako.. hivyo nawakaribisha wale ambao wanaweza kukisikia au kuchangia sababu zile nyingine 49!
51: Alisema kuwa akichaguliwa tena ataleta vijana na kuwa watu wa rika "lake" waanze kuachia ngazi. Well, kwa vile yuko rika moja nao basi na yeye aungane nao!
50: Hajui kwanini Tanzania ni maskini licha ya kuwa kwenye utumishi wa serikali kwa karibu miaka 30 sasa! Kiongozi asiyejua chanzo cha tatizo ataweza vipi kuliondoa isipokuwa kuziba tu dalili zake.
Hawana kumbu kumbu hao utachoka bureeeeeeee!