Huyu jamaa alikuwa hodari sana wa kufundisha hist_kila aliyekuwa anahudhuria vipindi vyake alikuwa anainjoy sana.alikuwa hana complication za kijinga kama dr mselemu -huyu dr akikuwa kilaza sijawahi kuona .hebu tujikumbushe
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda utumbuizaji wa wasanii wetu stejini hasa wa bongo fleva na kwaya.kwa kweli wanaboa sana na kutia kinyaa _kinachofanyika ni ***** mtupu
1.wengi hawawezi kuimba live.diamond,rose muhando,jay,suma lee wote wachovu hawawezi kuimba live huishia kufanya maigizo tu...
Walimu wana bahati mbaya sana kwa kuwa wanachama wa cwt.cwt viongozi wake asilimia kubwa ya shughuli zao ni vikaovikao tu visivyokuwa na tija kwa walimu.mwl ukienda kwao hakuna msaada unaopata kwao.sasahivi wamesisimka na kukulupuka wanadai eti mgomo-lakini muda si mrefu utasikia wamesitisha...
Binafsi nafurahia sana kazi inayofanywa na wapinzani bungeni_mabadiliko mengi ya msingi ktk nchi yameletwa kutokana na michango yao makini na mashinikizo yao.lakini naona kuna wakati wanakurupuka na kulopoka tu ktk baadhi ya maeneo .na wabunge wa ccm wakipangua hoja unakuta ina mashiko na...
Galanos shule ya ajabu sana wakati mi nasoma pale kipindi yupo kinala kulikuwa hakunj walimu wa kutosha lakini watu walikuwa wanafaulu sana tena watu walikuwj wanafaulu hata masomo ambayn hayana walimu kabisa
Habar wana jf naombeni msaada nataka kununua desk top used nifahamisheni yafuatayo maana mi siyo mtaalamu kabisg wa mambo haya
1.ni mambo gani ya juangalia ili upate mashine nzuri_mambo ya ram,hd ,pentium nayapatapata kwa mbali sana nahitaji kujuzwa zaidi
2.ntapata maeneo gani mjini dsm...
Nchi yetu ni business as ussual wabunge watajadili sana lakini hakuna hatua zozote zitakazochuliwa pinda ataendelea kuwepo mawaziri wote pamoja na mkulo wataendelea kuwepo na kula nchi kama kawaida.kikwete pinda na kiongozi mwingine yeyote ripoti hizi haziwagusi wala hayayawaumi wanaangalia...
ni ukweli usiopingika jf unapata taarifa sahihi za kila kitu pale unapohitaji.nimekuja jukwaa hili 5 tech ili nipate abc nataka kununua pikipiki iliyotumika.ni zile honda nyekundu zenye kikapu mbele sijajua brand name yake lakini nadhani ni cc 90.mimi nipo mkoani Ntazipata maeneo gani dar na bei...
Nimekuwa nikifuatilia yaliyojiri kikao cha kamati ya nishati na tanesco. Mhe Zitto alithubutu kutoa agizo standby generator liondolewe nyumbani kwa wiliam mhando ili naye ajue adha ya umeme.naungana nae mia kwa mia viongozi wetu wamejifanya miungu watu hawajui hata tone la uchungu wa matatizo...
Ningekuwa mimi mdo rais natimua viongozi wote wa tanesco na kuweka uongozi mpya.haiwezekani shirika ambalo halina mpinzani na linalotoa huduma inayotakiwa kila mahali lijiendeshe kihasa.tanesco wakikusanya tu madeni wanayodai matatizo yameisha Its a shame
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.