Kweli nimsamehe huyu binti?

Jamaa yangu mmoja alikutana binti kama huyo katika mazingira kama yako, wakati huo alikuwa bado anajifanya mzee wa malavidavi na kusamehe saba mara sabini, alimsamehe huyo binti baada ya siku moja kumtendea kama alivyokutendea wewe... nakuambia hakubadilika kwa miaka miwili iliyofata, usumbufu ulikuwa ule ule anabadilisha watu tu wa kutoka nao, na kila wakati yeye ni samahani..... achana nae...huyo kimeo hafai!! jamaa kammwaga binti kitambo, sasa kawa kauzu baada ya kutambua kuwa siku hizi mapenzi hayana forumula ya kuyahandle... waweza kumtendea kila jambo jema mpenzio na ukajituma hasa kunako 6X7.. akiamua kaamua tu....
 
Wana jf,naombeni ushauri nina miaka mitatu katika mapenzi na huyu binti lakini hapo jana kuna njemba imenipigia simu na kusema kuwa imekuta meseji kwenye simu ya mpenzi wake ambaye ndiye mpenzi wangu mimi kwamba namwandikia meseji za mapenzi huyo binti,nilivuta pumzi na kumsikiliza vizuri,nikamuuliza wameanza lini uhusiano njemba ikaniambia wameanza mwaka jana mwezi wa kwanza so wana almost mwaka mmoja.na hapo hapo mimi nina uhusiano nae wa miaka mitatu.akanieleza habali zote za kuhusu huyo mpenzi wangu hadi lini ame kuwa nae na mda ambao mara ya mwisho amekuja kwangu kwa kumwambia huyo njemba eti anaenda kusalimia kaka ake amekuja toka mkoa.kumbe yupo kwangu.sasa nikamwambia huyo njemba kwamba yeye ndo ameingilia mapenzi yangu na huyo binti yeye mwaka mmoja mi mitatu,kweli sikuamini kama kweli huyu binti anaweza akanifanyia hivyo ilibidi nianze kuhusisha na matukio ya nyuma nikaona kweli kuna utofauti ya kwamba amekuwa aki nicheat.naombeni ushauri hapa nifanye nini na binti nampenda..

Kumsamehe unaruhusiwa, na nimuhimu kabisa.ila sio kurudiana nae au kuendelea na mausiano..kwanza ukimsamehe anaeza kuja kukupiga chini wewe then ukajinyonga ukatuletea shida nyingine hapa. Kwanza ulimuliza demu mwenyewe?? majibu yake yalikuaje? au ukute alikuambiaga ana jamaa mwingine we ukawa mbishi? inshu sio umekaa nae mda gani inaeza kawa hapo kati mambo hayakwenda sawa
 
Kama bado unampenda mm nakushauri umsamehe. Ila inabidi uwe serious usimuonyeshe kama unamtaka kivileee ww anzisha varangati na ujifanye kama ww ndio basi humtaki tena ili uone reaction yake.
Kaka angu,mwanamke anaku cheat mwaka mzima usijue jamani????!!!mmhh ama kweli wanaume ni waajabu sanaaa
 
inaonekana jamaa alikuwa mstaarabu sana; angekuwa mwingine angesema wazi tu kwamba 'nilitaka kukumega tu' teh teh teh

namshukuru Mungu huyu huyu ndio my hubby to be so im proud of him coz he says what he feels i gave him time n he came back to me with a million sorry and fully of love. kuwa wa kweli inasaidia saa ingine uhusiano wa muda mrefu unaboa kwa hiyo sio kila siku furaha tu halafu unapokuwa na mkaka ambaye ndio kwanza anaanza maisha kwa kweli uhusiano ni mgumu maana ndio anaona kila kitu
 
Muite binti umwambie achague moja. Kama bado anataka kuendelea na wewe mkacheki afya zenu kwanza.
 
Wana jf,naombeni ushauri nina miaka mitatu katika mapenzi na huyu binti lakini hapo jana kuna njemba imenipigia simu na kusema kuwa imekuta meseji kwenye simu ya mpenzi wake ambaye ndiye mpenzi wangu mimi kwamba namwandikia meseji za mapenzi huyo binti,nilivuta pumzi na kumsikiliza vizuri,nikamuuliza wameanza lini uhusiano njemba ikaniambia wameanza mwaka jana mwezi wa kwanza so wana almost mwaka mmoja.na hapo hapo mimi nina uhusiano nae wa miaka mitatu.akanieleza habali zote za kuhusu huyo mpenzi wangu hadi lini ame kuwa nae na mda ambao mara ya mwisho amekuja kwangu kwa kumwambia huyo njemba eti anaenda kusalimia kaka ake amekuja toka mkoa.kumbe yupo kwangu.sasa nikamwambia huyo njemba kwamba yeye ndo ameingilia mapenzi yangu na huyo binti yeye mwaka mmoja mi mitatu,kweli sikuamini kama kweli huyu binti anaweza akanifanyia hivyo ilibidi nianze kuhusisha na matukio ya nyuma nikaona kweli kuna utofauti ya kwamba amekuwa aki nicheat.naombeni ushauri hapa nifanye nini na binti nampenda..

Ama kweli vijana wa siku hizi hawaeleweki! Si wanawake si wanaume huu mchezo wa kuruka ruka wanauona kitu cha kawaida.
Namna kijana unavyobishana na kidume mwenzio utasema hujuwi maana ya wivu unanishangaza! Unategemea ndowa utakayoifunga itakuwaje? Si ataendelea kukutesa kwa kuwa tu eti unampenda na umeambiwa yuko yeye peke yako ambaye anaweza kukubeba?
 
Asante wana jf kwa ushauri wenu na nitayafanyia kazi mawazo yenu..
 
hapa sio swala la kuuliza ufanye nini, ni swala la kufanya maamuzi magumu,
hakuna dhambi mbaya kwenye mahusiano kama kucheat, sasa wewe endelea kukomaa uone matokeo yake
 
Hakuna justification ya cheating!
Possible reasons za kuwapanga ni kutafuta mume afaaye kwa vigezo vyake (sidhani kama kati yenu mmoja alishajicommit), kuwakomoa wote wawili, kuzichanga fweza etc!

Kama una uvumilivu wa unfaithfulness, then go to the root cause n then uevaluate kama utaweza kuing'oa hiyo root cause then msamehe, au kama una weza muwe na open relationship.

Kazi ni kwako!
 
Picha yake tafadhali ili tuone ukubwa wa tatizo na ntu mwenyewe!
Wana jf,naombeni ushauri nina miaka mitatu katika mapenzi na huyu binti lakini hapo jana kuna njemba imenipigia simu na kusema kuwa imekuta meseji kwenye simu ya mpenzi wake ambaye ndiye mpenzi wangu mimi kwamba namwandikia meseji za mapenzi huyo binti,nilivuta pumzi na kumsikiliza vizuri,nikamuuliza wameanza lini uhusiano njemba ikaniambia wameanza mwaka jana mwezi wa kwanza so wana almost mwaka mmoja.na hapo hapo mimi nina uhusiano nae wa miaka mitatu.akanieleza habali zote za kuhusu huyo mpenzi wangu hadi lini ame kuwa nae na mda ambao mara ya mwisho amekuja kwangu kwa kumwambia huyo njemba eti anaenda kusalimia kaka ake amekuja toka mkoa.kumbe yupo kwangu.sasa nikamwambia huyo njemba kwamba yeye ndo ameingilia mapenzi yangu na huyo binti yeye mwaka mmoja mi mitatu,kweli sikuamini kama kweli huyu binti anaweza akanifanyia hivyo ilibidi nianze kuhusisha na matukio ya nyuma nikaona kweli kuna utofauti ya kwamba amekuwa aki nicheat.naombeni ushauri hapa nifanye nini na binti nampenda..
 
Pipa chini huyo ni malaya tu-wanawake wako wengi sana tena wazuri wanaojiheshindmu.dump her she is just a silly stunt
 
Usifanye maamuzi ya haraka! Kwnye maelezo yako cjaona kama umemuuliza huyo bi shost kuhusu hilo swala sasa utafanyaje maamuzi kabla ya kusikiliza upande wa pili? What if kama ni m2 2 anawaharibia mahusiano yenu?busara muhimu hapa

Hilo nalo neno! Kweli ujana una mengi...
 
...ningeomba ushauri mimi kama rafiki yako wa karibu ungenishauri nini baada ya kisa hicho?Ooooh! Fanya hivyo, kwa usalama wa afya na uhai wako. Epuka aibu pia.
 
kiukweli kaka yangu kwa sasa sahau kupata wa peke yako maana kwa jamii ya siku hizi tumezowea kuanza mapenzi mapema sana ndo maana hakuna mapenzi ya dhati na kama unavyojua kwamba kila mtu ana testi yake ya mapenzi kwa mfano wengine wanatulia tu wakati wa kitendo na wengine munashirikiana wakati wa tendo nakadhali sasa huwezi kukaa na mpenzi mmoja kwa sasa kwa sababu tushazowea kupita kwa wanadada wengi na kinadada nao washapita kwa wanaume wengi tofauti na wazee wetu wa zamani wao walikuwa mpaka waowe ndo wananza kukutana kimapenzi na ndo maana walidumu sana kwa sasa ngumu hata kwa wenye ndoa zao kaka ni lazima watatoka nje labda mtu aliyekuwa hajawahi kufanya mapenzi na mtu mwengine yoyote isipokuwa huyo aliemuowa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom