Wabunge wa upinzani wasijione 'supermen'

Mastabenja

Member
Mar 23, 2012
25
6
Binafsi nafurahia sana kazi inayofanywa na wapinzani bungeni_mabadiliko mengi ya msingi ktk nchi yameletwa kutokana na michango yao makini na mashinikizo yao.lakini naona kuna wakati wanakurupuka na kulopoka tu ktk baadhi ya maeneo .na wabunge wa ccm wakipangua hoja unakuta ina mashiko na inakuja kuonekana mbunge wa upinzani ameongea kwa msisimko na amekulupuka.jamani wapinzani kuweni makini mrikulupuke na kuropoka tu tunawategemea sana
 
kulopoka ===/==kuropoka
Amekulupuka==/== Amekurupuka
Mrikulupuke ==/== Msikurupuke

Karibu sana Jamvini Masterbation. ukweli na uwazi!
 
Binafsi nafurahia sana kazi inayofanywa na wapinzani bungeni_mabadiliko mengi ya msingi ktk nchi yameletwa kutokana na michango yao makini na mashinikizo yao.lakini naona kuna wakati wanakurupuka na kulopoka tu ktk baadhi ya maeneo .na wabunge wa ccm wakipangua hoja unakuta ina mashiko na inakuja kuonekana mbunge wa upinzani ameongea kwa msisimko na amekulupuka.jamani wapinzani kuweni makini mrikulupuke na kuropoka tu tunawategemea sana

Hapa kukurupuka pekee ninakokuona ni wewe kuleta vitu vinavyoelea generally tu bila specifics wala angalau kwa mfano mmoja.

Huwezi kukemea kukurupuka kwa kutumia style ya kukurupuka.
 
Mleta mada inatakiwa aombewe tena na lusinde,, baba lulu,mzee wa fumanizi.
 
Mtoa hoja mi nadhani huujui uhalisia wa kuwa mbunge wa Upinzani wa bunge lililojaa waimba taarabu wabunge wapo kutetea uhalifu na umaskini, Nina hakika kama nia yako ni ya dhati ktk kuuondoa ufukara huu wawatanzania waliojaliwa utajiri wa kupindukia wa Raslimali ambazo wachache wanafaidi ni lazima utakua na UCHUNGU na hii kukurupuka huwezi iona kwa wabunge wa Upinzani hasa CDM
 
Binafsi nafurahia sana kazi inayofanywa na wapinzani bungeni_mabadiliko mengi ya msingi ktk nchi yameletwa kutokana na michango yao makini na mashinikizo yao.lakini naona kuna wakati wanakurupuka na kulopoka tu ktk baadhi ya maeneo .na wabunge wa ccm wakipangua hoja unakuta ina mashiko na inakuja kuonekana mbunge wa upinzani ameongea kwa msisimko na amekulupuka.jamani wapinzani kuweni makini mrikulupuke na kuropoka tu tunawategemea sana
Peleka mashudu yako kwa wapumbavu wenzako huko!
 
mkuu umenena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

leo hii jnne, wabunge wa chdm wametoka kwenye mstari. wamekua wakichangia mambo yasiyo eleweka
 
Sitasahau na nisingependa kusahau hii kauli,"raisi wetu ni dhaifu na tumefika hapa tulipo kwa sababu ya upuuzi wa CCM". Full stop!
 
Mkuu karibu jamvini.... Ila usikurupuke kuweka post za ki-mchemba hapa....
 
Back
Top Bottom