TANESCO: Rationing is back!

TANESCO: Rationing is back!

...ni madeni yanayowafanya washindwe kuzalisha umeme hasa unaozalishwa na kampuni ya Glaneco (samahani kama nitakuwa nimekosea kuiandika) kuidai tanesco zaidi ya billion 300/=
Aggreko:cool2:
 
Kudadadeki safi kabisa!

Kama ni jenereta ajiwekee kwa gharama zake kama tunavyofanya sisi walalahoi.

Akitaka kuujua utamu wa ngoma aingie acheze siyo atazame videoni na kutikisa kichwa kwa mbwembwe. kudadadeki.
 
Ningekuwa mimi mdo rais natimua viongozi wote wa tanesco na kuweka uongozi mpya.haiwezekani shirika ambalo halina mpinzani na linalotoa huduma inayotakiwa kila mahali lijiendeshe kihasa.tanesco wakikusanya tu madeni wanayodai matatizo yameisha Its a shame
 
Umekosea Mkuu Mastabenja, Ningekuwa Rais ningemtwanga bei Ngeleja maana ndieya mwenye tabia ya kutudanganya watanzania na mimegawati ya uwongo inayozalishwa na TENESCO.
 
Kudadadeki safi kabisa!

Kama ni jenereta ajiwekee kwa gharama zake kama tunavyofanya sisi walalahoi.

Akitaka kuujua utamu wa ngoma aingie acheze siyo atazame videoni na kutikisa kichwa kwa mbwembwe. kudadadeki.
duh! Kumbe upo??
 
nakumbuka kauli ya Mh. mbowe alimwambia waziri mkuu bado sijaridhika nahuo mpango wadharura kwasababu kila mara mnasema ivo ivo, pinda akamwambia siusubiri tushidwe ndoutuulize.
sasa swali linakuja wame shidwa tayari namgao ndohuo unaanza soon, PINDA UTAMWAMBIA NINI MBOWE?
 
Kila siku TANESCO inadaiwa, pamoja na kupandisha bei ya umeme bado inadaiwa. Kama wameshaonesha kushindwa ni kwa nini tusitumie njia mbadala? Say, yaruhusiwe makampuni binafsi kuuza umeme kwa watumiaji!
 
Nimekuwa nikifuatilia yaliyojiri kikao cha kamati ya nishati na tanesco. Mhe Zitto alithubutu kutoa agizo standby generator liondolewe nyumbani kwa wiliam mhando ili naye ajue adha ya umeme.naungana nae mia kwa mia viongozi wetu wamejifanya miungu watu hawajui hata tone la uchungu wa matatizo yanayowakabili watu walio chini yao.

Pia mimi nashauri haya:

1. Waziri wa elimu naye aondolewe kwenye pay roll kama miezi miwili hivi ili ajue adha ya walimu wanaoondolewa kwenye pay roll kiuzembe halafu wanapata usumbufu mkubwa kurudishwa
2. Ikulu wakatiwe maji ili wajue adha ya maji mawilayani kama Bariadi, Meatu nk
 
Zitto kasema ndio, je nani kasimamia azimio hilo? ni kweli Mhando atanyang'anywa hiyo jenerator ya dharura home kwake?
 
Hata tukibadilisha uongozi wote pale bado hali itakuwa hivi hivi kama tusipobadilisha mbinu za kibiashara za shirika hili na kuondoa siasa kwenye utendaji wake.

Kwa hali ilivyo pale Tanesco, siasa ni nyingi kuliko... Labda tutafute majibu ya maswali haya machache ili tujue hali halisi ilivyo. Hv ilikuwa ni viable kupeleka umeme mabwepande kwenye mahema? Kama jibu ni hapana ile distribution line imegharamiwa na nani au gharama zake zitarudi vp na kwa kipindi gani? The same apply kwa kawawa, kule madale enzi hizo.

Mbona Tanesco wanalazimishwa kujenga hizo line lakin serikali haiwalipi? Mbona taasisi za serikali na wizara zake hazilipi bili zao wakati budget ya matumizi hayo wanatengewa?
Wanatudanganya kwa ruzuku wanazolipatia shirika hili kumbe hata haifiki robo ya madeni yao.
 
Ningekuwa mimi mdo rais natimua viongozi wote wa tanesco na kuweka uongozi mpya.haiwezekani shirika ambalo halina mpinzani na linalotoa huduma inayotakiwa kila mahali lijiendeshe kihasa.tanesco wakikusanya tu madeni wanayodai matatizo yameisha Its a shame

Kama akifanya kutimua anaweza kujikuta nae anajitimua kwani huenda kinachoizorote tanesco nae ni mhusika
 
Inawezekana hii ni mbinu ya MAGAMBA ili wananchi wasipate fursa ya kufuatilia yale yanayojiri huko Arumeru. Iweje sasa wanadai Aggreko wamezima mitambo ilhal Mkurugenzi wa TANESCO alisema awali (sio zaidi ya wiki moja imepita) kuwa kinachotokea sasa ni matokeo ya mkataba ulioingiwa na NET GROUP pamoja na uchakavu wa mitambo na sio mgawo kama watu wanavyohisi.

Hizi kauli tata zinazotolewa na viongozi wetu zinaashiria nini kwa mustakabali wa taifa letu?
 
Kwa mshahara wake, hawezi kushindwa kuweka jenerator nyingine, akibawana sehemu hii ataibuka na lake la kufidia kunyan'ganywa kitu hiyo
 
Back
Top Bottom