Maji Marefu Kuishitaki CHADEMA .....!!!!!

Siasa bila unafiki ni bure!
2015 chadema ikishika nchi atatumia hiyo hiyo picha kubembeleza uanachama ili apate hata ubalozi wa nyumba kumi!
 
Mwambie awe makini huu ni msimu wa mvuamvua na RADI kali sana na yeye anadhambi ya kuthubutu kuitetea ccm.
 
Tatizo la kuwa darasa la saba na kuwa na pesa za mizimu. Hajui hata lipi la kwenda mahakamani na lipi si la kwenda nalo mahakamani.

Majimarefu Asema Picha Imetengenezwa
Amemaliza maongezi na wakili maarufu jijini kuiburuza CHADEMA na MWANANCHI Mahakamani Jumatatu kwa kumchafulia jina na heshima yake ndani ya chama na jamii kwa ujumla





"Picha hii nilipigwa nikiwa na huyu mbunge mwenzangu, Vicent Nyerere (kulia), lakini huyu wa kushoto (Joshua Nassari) hakuwepo karibu yangu kabisa! Yeye alikuwa mbali akiamrisha vijana wanichome moto tena akiwa na hasira, tofauti na anavyocheka katika picha hii. Huu ni mchezo mchafu wa kuunganisha picha kwenye kompyuta uliofanywa na CHADEMA na kwa makusudi gazeti hili likaichapisha, baada ya kuona kwamba hatua aliyofanya Nassari ya kutaka niuawe jana ni mbaya sana. Nitalishitaki gazeti hili". Analalamika Mbunge wa Korogwe Vijijini Stephen Ngonyani wakati akionyesha picha inayomuonyesha akiwa katika furaha ya hali ya juu yeye, Nyerere na Nassari. Picha hiyo imechapishwa jana ukurasa wa kwanza gazeti la Mwananchi.Vilevile ukurasa wa kwanza gazeti la Tanzania Daima.
 
Asilete akili za matunguri kwenye siasa,ambayo hata hajui nani wa kushtaki kati ya chadema na mwananchi!!!!!!!!!!!!!
 
amesoma pale muhas enzi zile ipo chini ya udsm ikiitwa muchs. pale pana kitengo cha traditional medicines. Sasa sikumbuki kama alibaki pale kufunza mpaka akafika level ya uprofesa au alipomaliza alienda chuo kingine

Hamna lolote, huyu majimarefu hajasoma muhas wala nn, ni uganga na ramli zake ndo zimempa title hiyo.
 
Kesi hii labda ipangiwe hakimu asiyejua sheria. Kwani tangu lini kupiga picha na mtu wa upinzani ikamtia doa. Kwanza maji marefu anatenda kosa la ubaguzi kwa vile anapandikiza hisia za ubaguzi dhidi ya raia wenye itikadi tofauti za kisiasa. Kama alikuwa hapendi kilimpeleka nini kambi ya chadema? make yeye ndiye aliyewafuata! Au alikwenda kuroga na uchawi wake umeshindwa anaogopa aibu kwa bosi wake chama cha magamba (CCM)?
 
Huyu maji Marefu mume wa Mary chitanda.....ni Kati ya aliyeiponza ccm na kumhadaaa Sioi,wana Arumeru ni watu wa Ibada sana ....sidhani Kama mganga wa kienyeji au mchawi angesaidia pale
 
Sipati picha maji marefu kwenda mahakamani hata hao waliomshauri hata kkama ni mawakili toka mbinguni lazima wangekubaliana nae afungue kesi kwa wanachotaka wao ni hela. Maji marefu ajitambue kuwa yeye ni mteja tu kama wateja wengine mbele za mawakili kwa hiyo hakuna kitu hapo.
 
Sipati picha maji marefu kwenda mahakamani hata hao waliomshauri hata kkama ni mawakili toka mbinguni lazima wangekubaliana nae afungue kesi kwa wanachotaka wao ni hela. Maji marefu ajitambue kuwa yeye ni mteja tu kama wateja wengine mbele za mawakili kwa hiyo hakuna kitu hapo.

Ukitaka kuona mijitu ambayo haijaenda shule kutana na Prof. Maji Marefu. Mtu aliyeenda shule hawezi kuongea upuuzi huu. Sifa za Prof. Maji marefu MB wa CCM Korogwe ni kama ifuatavyo:
  1. Darasa la Saba.
  2. Mganga wa kienyeji aliyebobea kwa kiwango cha Uprosessor.
  3. Tapeli aliyekubuhu.
Hizo ndizo sifa za Maji Marefu ambaye hajui hata a,be na che ya sheria yoyote.
 
Aende akatete wananchi wake sio suala la kesi maji marefu nikijana mdogo Ccm awez kesi,wameshindwa Viongoz wake itakuwa yeye mgnga wa kienyeji akatafune Paka kama manyau nyau
 
maji marefu nenda kaendelee na mambo yako ya kienyeji vinginevyo utaumbuka? sio kwa sababu unawachanja chale(KWA MUJIBU WA LUSINDE) WANASIASA KWAHIYO UNAWEZA KUFANYA SIASA. HAPO NI MAJI YA KINA KIREFU KWAKO PERIODI
 
Mchawi mwenzake Shekh Yahaya katangulia KUZIMU,chadema tuna MUNGU,atakufa mwenzie aliyetabiri vifo,MUNGU hakawizi.
 
Huyu mganga wa kienyeji asitulete mambo yake ya kichawi. MASHAVU YAKE!
 
huyu jamaa miaka ya nyuma alipata umaarufu wa kumfufua binti mmoja huyo binti yuko wapi na anaitwa nani ili tuanze kumchimba doctor huyu maana miaka hiyo nakumbuka habari zake nilizisoma gazeti la motomoto nahisi ile ilikuwa comed kuanzia pale akaanza kutapeli watu sasa ajindae na yeye kushitakiwa kwa kutapeli watu kwa kisingizio cha kufufua mtu
 
Back
Top Bottom