Recent content by mashoo

  1. mashoo

    Nimempoteza kaka

    Pole sana kaka yangu, hii dunia ina machungu yake Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. You are such a great poetic, keep it up!
  2. mashoo

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    Mambo ya Tz ukuyasikia unawez kukosa usingizi yanaudhi sana, kama kweli tuna mwaziri wasomi wanaweka wapi usomi wao kwenye kusaini mikataba?? Can't they read and tell this is fishy?? au ndio wanakatiwa % ili waiue nchi? kwakweli inauma sana ndio maana wakatia mwingine watu wanafumba macho na...
  3. mashoo

    Shairi: Nawasihi kina dada (ushauri)

    Mkkj nakupa kudo kwa mashairi,hebu tunga la kina baba wanaosarandia wake wa wenzao ao wasichana wadoogo! Unaendeleaje jirani,nimekumiso!!!!
  4. mashoo

    Mbunge MARTHA MLATA

    [Mama yangu weeeeeeeeeee, sitaki kuamini kuwa tuna wabunge Form IV leavers, this is too crazy to bear! kweli tumefikia hatua ya kuwa na wawakilishi vilaza namna hii kwenye nchi ambayo ina wasomi wa kutosha??? Sasa huko London anasoma nini?? This is just unbelievable crapp, labda kama si kweli...
  5. mashoo

    Jk-msijali Kuitwa Mafisadi!

    Huyu mumuitae rais a.k.a Rahisi hachagui maneno ya kusema si nyumbani wala ugenini, hapo ndio utakapojudge busara yake na uwezo wake wa kutuongoza, sijui hiyo 2010 itafika lini?? Ila wabongo walivyo vipofu + viziwi watamrudisha tena madarakani, hapo ndio nitakapokuwa na kila haki ya kufumba...
  6. mashoo

    Jk-msijali Kuitwa Mafisadi!

    Bro, nakubaliana na wewe 100% JK hayuko upande wetu kabisa coz is one of them in one way or another!!! JK is not clean trust me its just a matter of time nature will reveal his evils!! hawezi akakosa kushiriki kati ya mascandal yote haya yaliyo hewani, na kianchonifanya niseme hivyo ni yeye...
  7. mashoo

    Lowasa: Toka Sofa hadi Tendegu

    Hapo kwenye kiti cha mbao anavulimia kweli, U can tell from his face manake kinaumiza matako, anajiuliza hivi watu wanakaliaje hivi viti?? Naam wanakalia the same same way ulivyokaa hapo tena kwenye viofisi vyenye vumbi kwa masaa zaidi ya 8 kila siku, na hela wanazopata haziwafilishi hata...
  8. mashoo

    Binti akatwa masikio yote na Baba Mkwe!

    This is extremelly cruel I can't believe what am reading!Hivi Tz katka karne hii bado kuna ukatili namna hii kwa wanawake? tena msichana mwenyewe yuko under-age ana miaka 15 na ameolewa? kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni! Hivi kuna chombo gani kinachotetea hao watoto wanaolewa wakiwa...
  9. mashoo

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Hongera Mkjj, huyo Chenge anajibu kwa kiburi ila haitamsaidia kitu mambo yako hadharani na yatamnyima usingizi kwa sana! Whether anarudi ahera au anarudi Tz sheria ichukue mkondo wake.Pesa za wizi zina kiburi sana huu ni ushahidi tosha!
  10. mashoo

    Dini Dini Dini Dini.....Sasa miye nimeanza kuboreka na hizi threads za dini, Je wewe?

    Hii sehemu ya dini inaweza kendelea kuwepo ila itafutiwe specific thread ili kwa wanaoipenda waifuate huko iliko! kuichanganya na threads nyingine inakera kiasi.
  11. mashoo

    Us Green Card Lottery

    [That's what am talking about watz hatuko aggressive halafu tunapenda dezo kupita kiasi nimecheka niliposoma "eti wanatuma tiketi ya ndege" wanakuomba nini? usipokuja wewe Wanigeria na Wakenya watapata hiyo tiketi within a week, kwanini? they know what life is " U fight or U die" Mi...
  12. mashoo

    Wakina-Baba na Mama Mlio Viongozi Mafisadi Mnaaibisha Familia na Jamii Zenu Daima..

    Mpaka kieleweke safari hii, PIGA, UA,GARAGAZA ukweli utaanikwa juani mchana kweupe! KIla jambo lina wakati wake na wakati uliokubalika TZ ndio huu, tuvute buti wataumbuliwa mmoja baada ya mwingine! Ushauri wa bure kwa mafisadi, ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji!Kaeni mkao wa kuliwa, sisi...
  13. mashoo

    Us Green Card Lottery

    Hakuna cha upendeleo wala nini, the plain truth is "watanzania hawachezi" hauwezi kushinda kama hauchezi na watz hatuchezi kwa wingi kama wakenya. Ukiwaona wakenya wanavyochakarika kucheza hii green card na wanacheza ukoo mzima ila watz ukiwaambia hata kupiga picha yenyewe inachukua miezi 10...
  14. mashoo

    Meya wa Detroit na vi sms vyake kwa Kimada!

    WOW, its amazing how married people can have big plans for cheating! But I keep asking myself, what is the main cause of cheating among married couples? Is intense in this scandal, and unfortunatelly is a cronic disease everywhere; I don't want to mention my mother land Bongo!mhhhh
  15. mashoo

    Makongoro Unatia Kichefuchefu!

    ahhhhhhhhhhhhhhhh, sasa nimejua anapopata hela za kuhonga wasichana ana msichana wake anajitamba kila siku jinsi anavyohudumiwa na mzee kumbe ndio nyenzo za kutunzia nyumba ndogo kwa gharama za mtz maskini! Chungu chako Mzee Makongoro kinachemka jikoni kitaepuliwa muda si mrefu ndio utajiju.
Back
Top Bottom