Lowasa: Toka Sofa hadi Tendegu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa: Toka Sofa hadi Tendegu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Bubu Msemaovyo, Apr 2, 2008.

 1. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ama kweli siasa ni mchezo mchafu, nikikumbuka siku alipotutangazia kwamba anaachia sofa seti zake na kuingia uraiani na jinsi mkewe alivyo bubujikwa machozi leo hii NAFURAHI SANA ingawa ujasiri wake utaweza kumrejesha serikalini tukaona tena anarudi kwenye kiti chake cha enzi kama kawaida.

  Enzi za Sofa

  Lowasa na sofa.jpg


  Hapa ni Mambo ya Nyakati

  Toka sofa hadi dawati.jpg
   
 2. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Phew!!! cant wait for the next bunge session!!! Siku wanasoma majina ya mafisadi wa epa iwe public holiday jamani, manake why lie?No one will be concentrating at work. Wakishitakiwa akina lowassa iwe broadcast live on tbc tafzali. Watoto wake... no offence guys. Baba yenu alikithiri hata nyie mtakua mnajisemea kisirisiri, all those millions? Yule aliyesoma muchs yuko wapi? alikua humble lakini!genes za mama nyingi itakua.
   
 3. S

  Sra Member

  #3
  May 4, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Safi sana ni bora kusemana hivyo hivyo,na pia umesahau ule usemi usemao "mpandangazi hushuka"
  "Aliye juu mngoje chini"
   
 4. I

  Ipole JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapa kwa kweli kama ulivyojieleza jina lako kuwa ni BUBU MSEMA HOVYO nijuavyo mimi bubu huwa haonengei. any way hayo tuyaache

  Lakini kusema kwamba unamuonea huruma wakati wewe hakukuonea huruma basi utakuwa mtu wa ajabu saana .

  kwa sasa bei ya umeme imekuwa juu sana sababu ni yeye kama aliweza kujikusanyia 152m per day hivi na kusababisha bei ya umeme kuwa ni mtu wa kuonea huruma huyu huyu.

  Anatakiwa arudi kwao akalime migomba maana yeye siyo masai ni mmeru aliwaasi wazazi nafikiri hata hayo matatizo yanamkumba ni kwa sabanu hizo.

  Mijeuri saana nafikiri utakumbuka wakati wa enzi za utwala wake alivyokuwa anawadhalilisha viongozi walichini yake mbele ya wananchi.

  Lowasa hafai hata kuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa
   
 5. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  ipole,huyu jamaa nn serikali ya mtaa,kuwa mjumbe wa nyumba kumi pia hawezi.
   
 6. mashoo

  mashoo Member

  #6
  May 5, 2008
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye kiti cha mbao anavulimia kweli, U can tell from his face manake kinaumiza matako, anajiuliza hivi watu wanakaliaje hivi viti?? Naam wanakalia the same same way ulivyokaa hapo tena kwenye viofisi vyenye vumbi kwa masaa zaidi ya 8 kila siku, na hela wanazopata haziwafilishi hata tarehe 10!!! hayo ndio maisha ya watz walio wengi uliowaibia bila huruma! Ulaaniwe na ninashangaa bado uko uraiani unatesa na wala kesi yako haisikiki popote, sijui nani aulizwe hili swali wanajf Lowassa anafanya nini uraiani?? hiyo kesi anafunguliwa lini???I am curious inauma kumwona anatesa tu!!!
   
 7. m

  matiksa Member

  #7
  May 5, 2008
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  siku hizi umerekebishwa ni aliye juu mfate hukuo huko. Kashuka madarakani je maisha ya kawaida ya mtanzania yamebadilika hili ndilo swali la kujiuliza.
   
 8. m

  matiksa Member

  #8
  May 5, 2008
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona wote waliovaa nguo za kijani wamekalia kiti hicho cha mbao? au mmemuona Lowassa tu? Mhhh mn Jmbo. Mke ampendaye mumewe humlinda siku zote mlitaka Regina achekelee, wanaochekelea down fall za waume zao ni wale wanawake maataahira.
   
 9. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Swala hapo ni kwamba ingekuwa hajatema ukuu wa darasa hangekuwa hapo kwenye tendegu. Hapo kwenye tendegu ni kwa wale wateule wa siku zote wasanii wanakalia sofa siku zote.
   
 10. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2008
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Huyu FISADI anawahaibisha CCM kwa nini wasimvue hiyo nguo?

  Hau siku hizi ni nguo za MAFISADI? Mwangalie anavyojuta, na hapo bado fedha lazima zirudi tu waangalie wasije tumia sana maana hawajui wakati wala saa watanzania watakapo anza kudai.

  Mkapa hakujua kuna siku atadaiwa na wakati huo hata nguvu hana, asubiri tu lazima Keko afike tu. Kwa hiyo na huyu mzee is just a matter of time, ngoja JK atoke OFIsini, si ndiye anayewalinda hawa MAFISADI?
   
 11. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135

  Tatizo ni kuwa nani atakuetoa hiyo hoja ya kufanya hivyo? Wenye sauti wote wako kwenye kapu hilo hilo la Lowassa, sidhani kati ya hao kuna yoyote anayeweza kumshutumu Lowassa kuwa fisadi! Labda iwe usanii tu.
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  MM iwa najiuliza siku zote...hivi watoto wa MIFISADI kama hili wanajisikiaje kwenye jamii kwani kila kukicha huu sasa umekuwa wimbo.Na hili FISADI limetuiingiza katika mateso sana kila kitu kimepanda liliwaambia MAWAZIRI wapite mikoani kuwadanganya wananchi eti BAJETI ya 2007/2008 ni nzuri nawasifu sana wananchi wote wale walio kuwa na upeo kuwa bajeti ilikuwa ni ya machungu na kuizomea hii MIFISADI sasa ni kuwaondolea uvivu dawa yao ni kuizomea tu kila ipitapo yamezidi kulindana baadae tutatumia nguvu ya UUMA kuyamaliza kabisa.
  Mbona kibaka anapigwa mawe na anachomwa hii MIFISADI mbona tunashindwa kuiishughulikia wkt tumeshaambiwa yalikuwa yanajichotea BILLIONS OF MIPESA??KWA NN WAJUMBE?
   
 13. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Watoto wa Mafisadi wanaishi hapa nchini lakini hata TV za hapa kwetu hawaziangalii.
  Watoto wa Mafisadi wanaishi hapa nchini lakini usafiri wanaotumia ni magari ya kifahari kiasi kwamba hawezi kusikia kelele zetu tukiwaita MAFISADI.
  Watoto wa Mafisadi wanaishi hapa nchini lakini lakini hata maji ya kunywa yanatoka nje ya nchi kama Charles Njonjo alivyokuwa wakati wake.
  Watoto wa Mafisadi wanaishi hapa nchini lakini lakini hawaoi wala kuolewa hapa nchini kwani wametunyonya sana tumebaki mifupa hatuwapendezi.
  Watoto wa Mafisadi wanaishi hapa nchini lakini NI MAFISADI TU.
   
 14. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Asikwambie mtu kaka madaraka matamu si unajua ukiwa mkuu wa darasa mahanjumati yanateremeka tu kwa mheshimiwa sana utadhani kuna kamfereji huko. Ukipita street lazima wachovu wakufagilie njia mara ghafla puuu!! kudadadeki ningekuwa na uwezo ningempima uzito kabla hajakalia sofa na aliporudi tendeguni yu mkini kilo zimepea kidogo au sio nduguzanguni acha kadada kalie anajua utamu anaokosa ati.. hiyo trela inatakiwa picha kamili mtu mzima kizimbani lazima itatia raha sana wahuni wanatuibia sana hawa.halafu kila siku wana-rap maisha bora kwa kila mtanzania...
   
 15. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2008
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jamaa huyu alipokuwa PM aliwanyanyasa sana watumishi wa ngazi za chini Serikalini,aliinyanyasa jamii au yeyote aliyepingana na yeye mwenyewe au rafiki zake,alifarakanisha familia mbalimbali na hata ndoa zingine zilitikisika.Ingekuwa vizuri atubu na arekebishe sehemu alizoharibu kwa kuwafuata wahusika kuwaomba msamaha ili asijeulizwa na Mola atakapoaga dunia hii.
   
Loading...