Yaani mimi namshukuru Mungu kuwa hawa wauza sembe sasa hawana pa kukimbilia. Mdogo wangu ni muathirika wa madawa ya kulevya na pigo kubwa kwa familia yetu kwani ndiye mtoto wa kiume wa kwanza ila ndio hivyo. Madawa yameumiza na kuuwa vijana wengi sana na tusipochangia kama wananchi kukemea...
Ushindani wa kibiashara umekuwa mkubwa sana haswa kwenye kampuni za simu hadi wanasahau maadili. Tatizo wanajali kupata faida kwa hiyo wako tayari kufanya lolote ambalo wanadhani litawaingizia faida. Kwangu mimi wahusika wamepoteza mwelekeo kwani wameshindwa kuwatambuwa wateja wao ni akina nani...
Yaani mimi namshukuru Mungu kuwa hawa wauza sembe sasa hawana pa kukimbilia. Mdogo wangu ni muathirika wa madawa ya kulevya na pigo kubwa kwa familia yetu kwani ndiye mtoto wa kiume wa kwanza ila ndio hivyo. Madawa yameumiza na kuuwa vijana wengi sana na tusipochangia kama wananchi kukemea...
Wanachofanya sio vizuri. Wasichanganye mambo binafsi kwenye biashara. Huu kwangu ni unafiki wanatembea Tanzania nzima eti wanatoa semina kwa vijana kuhusu fursa alafu wanapojituma wao ndio wanawafanyia fitna. Ila hii dhana ya wasanii chipukizi kuamini bila Clouds hawawezi kutoka kimziki imepitwa...
Huu uzi umenifurahisha sana ila it goes both ways ila wakaka mmezidi. Wengi wenu kuoga ni kujimwagia tu maji dakika 2 mmetoka. Wengi wenu mnajipulizia perfume kali mno ambazo zinachangia kukufanya unuke badala ya kunukia. Usafi wa mdomo pia ni tatizo kwa wanaume wengi, hampigi mswaki vizuri...
Wema got a taste of her own medicine. Siku zote mnaambiwa stay in your lanes hamsikii. Maybe now she's learnt her lesson. Kijitonyama na Tandale wapi na wapi? Aisee!
Siamini hadi itakaporipotiwa na vyombo vya habari. This source is very unreliable. Kashindwa kujieleza vizuri nahisi katumwa kuandika hii thread. A PR stint, it happens.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.