idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
Ameomba Bungeni, Naibu Spika alitaka kumaliza. Wenje kamshikilia kwamba maelekezo ya Spika hayakuwa kwamba ukiomba msamaha ndo unaachwa. Amemtaka Naibu Spika aite polisi mara moja ili Serukamba atolewe. Atatoa majibu baadae
endelea kutuhabarisha, sisi wengine tupo mbali na tv