Ulikuwa unasubiri kwa hamu, kwani?
Kwa taarifa yako bibie huyu 'ameshafariki' mara nyingi,lakini mara tu taarifa za msiba wake zikitokea mwenyewe huja kukanusha ,this time hakuna kanusho -then "amefariki rasmi"Kwanini umeweka neno "rasmi"?
R.I.P bibi Kidude, hivi ana watoto wangapi vile..!!!