Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika ya 40 inaenda na kuna dakika kama 5 au 6 hivi za nyongeza.
 
Kwa kweli Arsenal wametawala mchezo na kitendo cha Aston Villa kuamua kurudi kwenye mtindo wa 4-4-2 kumewapa nafasi Arsenal kutawala mchezo na sehemu ya kiungo kwa kiasi kikubwa mno.

Dakika ya 45 inakwenda na kutaongezwa dakika kama 5 au 6 hivi kutokana na kusimama kwa mchezo baada ya kuumia kwa Nathan Baker.
 
Ila ligi imefika patamu, zikikutana top teams hapo ndio mzizi wa fitna utakapokatwa.
 
Santiago Cazorla naona leo hachezi kama kawaida yake na Ozil anajitahidi kule pembeni.
 
Ila ligi imefika patamu, zikikutana top teams hapo ndio mzizi wa fitna utakapokatwa.

Ni kwasababu wahasimu wetu walidhani leo Aston Villa itawasaidia kuwaondoa Arsenal ndani ya top four lakini haijakuwa hivo.
 
Back
Top Bottom