Say no to Precission

Say no to Precission

ahsanteni wadau, ndio tunatua hapa Dar muda huu,saa 6:34 usiku! Tumecheleweshwa kwa masaa 14! Only in tanzaia, ilikuwa ni ndege (please wait) PW 0415 !
Usiku mwema wanafamilia wa JF,

Pole sana. Ila wenzako tushaachana kabisa na PW kwa safari za hapa nchini. Lbda kwenye route kama MWZ-JRO
 
ahsanteni wadau, ndio tunatua hapa Dar muda huu,saa 6:34 usiku! Tumecheleweshwa kwa masaa 14! Only in tanzaia, ilikuwa ni ndege (please wait) PW 0415 !
Usiku mwema wanafamilia wa JF,

Pole sana mkuu. Inatokea sana ila wanajitaidi kusema kweli. Safari hi naona ilikuwa nje ya uwezo wao.
 
Kuna dada wa kizungu ckumoja kama miez miwil iliyo pita alikuwa analia hapa airport. Anatafuta ofc za.precision wamlipe.
Alikuwa akitokea arusha kuja dar. Ilibid afoke dar saa sita mchana, saa kumi apande ndege ya kwenda south africa then brazil.
Ila kwa tabia yao ya kuaghirisha safar yule dada alifika hapa saa kumi na moja jion
 
ahsanteni wadau, ndio tunatua hapa Dar muda huu,saa 6:34 usiku! Tumecheleweshwa kwa masaa 14! Only in tanzaia, ilikuwa ni ndege (please wait) PW 0415 !
Usiku mwema wanafamilia wa JF,

Pole mno kwa sababu huo ni mkesha sio safari tena.
 
Wadau,leo nilipata safari ya kutoka mwanza kwenda dar kwa usafiri wa precission, ndege ilikuwa iondoke saa 6.20 mchana, wakahairisha mpaka saa 7.50, wakahairisha mpaka saa 20.40 na sasa ni saa 20.28 wametuambia itafika saa 22.00. Ikumbukwe watu iliokuwa waondoke hapa mwanza kwenda dsm jana tarehe 31.12.2013 walikwamishwa ikawabidi waondoke siku ya mwaka mpya! Si mara ya kwanza kwa watu kuja humu jamvini na kuulalamikia usafiri huu,!inasikitisha sana kwa huu usafiri! Ni hayo tu kwa leo!
Happy new year wanafamilia wa JF!

dah pole sana, hii sio ndege mbona afadhali ya daladala...nakumbuka kuna siku moja tulikuwa tuondoke kia asb ndg ikawa inaahirishwa kila saa inasogezwa hadi usiku saa 4 ndio tukaondoka, sasa kulikuwa na dada mmoja alikuwa anamuwahi mama yake ambaye alikuwa anafanyiwa operation siku hiyo hiyo ili awe nae hospitali lkn yule mama alishindwa na kibaya zaidi alipigiwa simu saa 12 jioni mama yake kafariki kwny operation iyo yeye bado yupo airport tangu asb..alilia huyo dada kama mtt mdogo..yaani kila mtu alimuonea huruma kwani kama angeondoka na basi la asb sana angemuwahi mama yake..
 
halafu mimi tangu walipoanza mausumbufu yao hawa precision huwa siwaaminigi kabisa, yaani nikipanda hiyo ndege roho yangu huwa haina amani kabisa..na hata juzi ilipopata pacha tairi sikushangaa kabisa na hii ndege ipo siku italeta maafa makubwa ndio serikali itatia mguu..

sasa kama watu wanashindwa kutii muda kitu kidogo tu maintenance ndio wataweza? huwa najiulizaga sana na kumuomba Mungu tu..
ndege nzuri ni fast jet tu..kwanza kubwa, afu iko on time and so fast and relaible..
 
Wadau,leo nilipata safari ya kutoka mwanza kwenda dar kwa usafiri wa precission, ndege ilikuwa iondoke saa 6.20 mchana, wakahairisha mpaka saa 7.50, wakahairisha mpaka saa 20.40 na sasa ni saa 20.28 wametuambia itafika saa 22.00. Ikumbukwe watu iliokuwa waondoke hapa mwanza kwenda dsm jana tarehe 31.12.2013 walikwamishwa ikawabidi waondoke siku ya mwaka mpya! Si mara ya kwanza kwa watu kuja humu jamvini na kuulalamikia usafiri huu,!inasikitisha sana kwa huu usafiri! Ni hayo tu kwa leo!
Happy new year wanafamilia wa JF!

Wakahairisha V/s Wakaahirisha?
 
ahsanteni wadau, ndio tunatua hapa Dar muda huu,saa 6:34 usiku! Tumecheleweshwa kwa masaa 14! Only in tanzaia, ilikuwa ni ndege (please wait) PW 0415 !
Usiku mwema wanafamilia wa JF,

Precision walitaka msherehekee kuingia kwa mwaka mpya angani....hehehe.
 
Kwani fedha walizoomba serikali hawajazipewa mpaka leo??
 
Back
Top Bottom