Mito yuko sahihi,
Rafiki yangu wakaribu alikuwa anateswa na mumewe sana,na kipigo juu. Kaka zake waliumia sn coz wao wanapenda wake zao na wanajiweza na kuwajali,kwanini mdogo wao apate shida, wakamtumia ticket arudi bongo, akapewa nyumba ya kuishi, gari na mtoto wake wakampeleka shule.Good...