Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

@,,,, the boss .....damian luena yuko states ila anakujaga bongo, juzi uhamiaji nlikutana na elias uisso au kide unamkumbuka
 
The master tena mzee wa ngumizisizo na ridhaa

Yupo hopefully....ametulia mpakaraha ...siunakumbuka thosedays usimuuzikidogo Loh..m nilikuwa namwogopa kama shuleza academy(zilivyogali)
 
Kuna rijamaa rinaitwaaa

Issangura .mzee

Rafamilia ya ngumingumi Yupo ...namkumbuka na kaka mmoja Hassan bana sijui ilikuwaje akaamuakupendakubaki Yale mazingira alikuwa anapiga debe mabasi ya posta ubungo ...pale postampya nilikuwanikimwona naumia sana anyway. Mungu anajua dest yake
 
The master tena mzee wa ngumizisizo na ridhaa

Yupo hopefully....ametulia mpakaraha ...siunakumbuka thosedays usimuuzikidogo Loh..m nilikuwa namwogopa kama shuleza academy(zilivyogali)

ila unamkumbuka walter mazula dah jamaa alikuwa mshkaji ila walufanyiwa kitu mbaya yeye na mke wake huko states waliuliwa kinyamaaa...r.I.p walter nakumbuka snce school alitaka kuwa pilot kma dingi yake
 
Tukikumbukana hivi tuzidikuombeana Naelekea moshi kuzika daadayangu wapendwa amefariki na ajali arusha

Huyu alisoma shule zetu zakinaniiii mabatini
 
tija juma uko wapi wewe.......mudy elmamry, peter pakata, kuna dem alikuwa ana akili sana anaitwa janet kamara, lotti mollel uko wapi maana tuliskia umemuoaaa mtoto wa lowasaa kwikwikwi yaani jamaa cjui wamepotelea wapi
 
pole sana pdidy.....tuko pamoja aise
 
ila unamkumbuka walter mazula dah jamaa alikuwa mshkaji ila walufanyiwa kitu mbaya yeye na mke wake huko states waliuliwa kinyamaaa...r.I.p walter nakumbuka snce school alitaka kuwa pilot kma dingi yake

Gfriend bana namkumbukasanabana ma best br
 
tija juma uko wapi wewe.......mudy elmamry, peter pakata, kuna dem alikuwa ana akili sana anaitwa janet kamara, lotti mollel uko wapi maana tuliskia umemuoaaa mtoto wa lowasaa kwikwikwi yaani jamaa cjui wamepotelea wapi

Mudy Yupo mjinii mzee wa sheria

Peter pakata Yupo kipunguni mjasiriamali

Janeth kamara kwa kabilalake atakuwabstate kama sijakosea

Lori sina uhakika sana tukowapi
 
dah tulipiga sanaaa ngoma na filimbi hahaha ir was fun alafu kuna ticha alikuwa kasimamaa balaaa anaitwa mwalimu nasari, mwalimu manyamaaa nawasilianaa naye mpakaaa leoooo mm skul nilikuwa mtundu basi mwalimu manyama mpaka akajaa kusema kwa maza wacha nichezeew bakoraaaa...alafu na yule sistawa kipindi cha uahonaji alikuaa mfupi alikuwa anafinyaaaaa balaaaa alinifanyaa mpaka nikajuaa kushona wakati tunamaliza darasa la sabaaa kila mtu alipewa begi lake aliloshonaaa mqwnyewe
 
Sista Edgara.......sijui yupo hai!!!alikuwa anajua kupika balaa na uzee wake wote
 
ila unamkumbuka walter mazula dah jamaa alikuwa mshkaji ila walufanyiwa kitu mbaya yeye na mke wake huko states waliuliwa kinyamaaa...r.I.p walter nakumbuka snce school alitaka kuwa pilot kma dingi yake

Sio Walter kazaura???
 
Mna kumbukumbu nzuri sana. Mimi nilimaliza std 7A hapo mwaka 1988. Ngoja nione km nami nitakumbuka japo wachache. Tulikuwa na Uno Tarimo (RIP) Lenguyana leandri, Albogast Njuu, Ngao Sambera (RIP) Laurian Thadeus , Irene Noa, Tina Riwa, John Riwa, Esuvat Molel na twin wake Nengai (B), Hilda Karau,Joyce Matumula, Milen Ringo, Goa digalo, Hamza Juma, Hidaya (mtoto wa mwl Mohamed) Neema, Jane Panja, Pamela charles, Edward Chelangwa, Bhoke Matiku.
wengine wa madarasa mengine; Nengai king'ori, Wito Shelukindo, Norma Mushema, Ahmed Elmaamary, Sioi Solomon( huyu ndo kaoa binti Lowasa) Rogate Matumla(1986) Sumitra, Japhet Kirita, Carol Kirita, Lulu January . Hao baadhi ya wanafunzi nawakumbuka.
Sr. Edigara ametusaidia sn kushona kwakweli, mwl JJ masiga, mwl Tarimo, Msaki, Barongo(RIP) , Mama Mbuya. Yote tisa kumi ni Pale tulipokuwa tunapangwa barabarani wanapokuja viongozi wageni. Au tulupokuwa tunasikia ving'ora vya magari yanayopitisha watuhumiwa wa kesi ya uhaini tulikua tunavisikia sn. Pia kulikua na mambo ya chipukizi, kina Denis Tairo km sikosei walikuwa viongozi. Ile school band ndo usiseme. Mwaka 1984 nakumbuka tulikua tunapewa maziwa , yaani ilikua raha tupu kwakweli.
 
@,,,, the boss .....damian luena yuko states ila anakujaga bongo, juzi uhamiaji nlikutana na elias uisso au kide unamkumbuka

Huyo Damian alikuwa kaka yake na Rose Luena???nae alisoma forodhani
 
dah tulipiga sanaaa ngoma na filimbi hahaha ir was fun alafu kuna ticha alikuwa kasimamaa balaaa anaitwa mwalimu nasari, mwalimu manyamaaa nawasilianaa naye mpakaaa leoooo mm skul nilikuwa mtundu basi mwalimu manyama mpaka akajaa kusema kwa maza wacha nichezeew bakoraaaa...alafu na yule sistawa kipindi cha uahonaji alikuaa mfupi alikuwa anafinyaaaaa balaaaa alinifanyaa mpaka nikajuaa kushona wakati tunamaliza darasa la sabaaa kila mtu alipewa begi lake aliloshonaaa mqwnyewe

HIVI GRACEMANYAMA Yupo
???nilikutanabsehemu mwili umefutuka si mchezo

Gloria urban yuponae
Shogayake fina
 
Mna kumbukumbu nzuri sana. Mimi nilimaliza std 7A hapo mwaka 1988. Ngoja nione km nami nitakumbuka japo wachache. Tulikuwa na Uno Tarimo (RIP) Lenguyana leandri, Albogast Njuu, Ngao Sambera (RIP) Laurian Thadeus , Irene Noa, Tina Riwa, John Riwa, Esuvat Molel na twin wake Nengai (B), Hilda Karau,Joyce Matumula, Milen Ringo, Goa digalo, Hamza Juma, Hidaya (mtoto wa mwl Mohamed) Neema, Jane Panja, Pamela charles, Edward Chelangwa, Bhoke Matiku.
wengine wa madarasa mengine; Nengai king'ori, Wito Shelukindo, Norma Mushema, Ahmed Elmaamary, Sioi Solomon( huyu ndo kaoa binti Lowasa) Rogate Matumla(1986) Sumitra, Japhet Kirita, Carol Kirita, Lulu January . Hao baadhi ya wanafunzi nawakumbuka.
Sr. Edigara ametusaidia sn kushona kwakweli, mwl JJ masiga, mwl Tarimo, Msaki, Barongo(RIP) , Mama Mbuya. Yote tisa kumi ni Pale tulipokuwa tunapangwa barabarani wanapokuja viongozi wageni. Au tulupokuwa tunasikia ving'ora vya magari yanayopitisha watuhumiwa wa kesi ya uhaini tulikua tunavisikia sn. Pia kulikua na mambo ya chipukizi, kina Denis Tairo km sikosei walikuwa viongozi. Ile school band ndo usiseme. Mwaka 1984 nakumbuka tulikua tunapewa maziwa , yaani ilikua raha tupu kwakweli.

OMG
NGAO RIP??
Jamani apumzikekwa amani linihiyo
 
Back
Top Bottom