BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
hahahahah lol .. I like the way you are 🙂
sasa Captain fanya fanya mambo basi.. dahhhh mwenzio sina hamu kabisa kipande hii..
hahahah nitumie kwa kutumia phone au email ili yafike haraka lol 🙂 na mwaka huu imeanza mapema 🙁
Vipi lakini huko nyanda za juu ??
LOL! haya rubani ngoja niangalie...Nyanda za juu kuna joto la mama nitazamie ukitoka nje utadhani kuna moto unawaka huku ni vikaptula na vimini tu..yako njiani rubani nawaombea Mungu msipate nanihii nyingi kama msimu uliopita lakini kwa vile imeanza mapema basi kazi mnayo. Natuma kwa Fedex 🙂🙂 yatafika Jumatatu 🙂...