Recent content by MAMA B

  1. M

    Habari ya Kusisimua Niliyoisikia kuhusu kinachoitwa chama cha ACT-Tanzania!.

    viongozi wake ni walewale waliotemwa kutoka chama dume ambao mpaka sasa wanashikiliwa na mahakama maana hawakuwa na msaada zaidi ya kuendesha move za kijinga.We unataka urais wakati unakajimbo kako kamoja mkoani kwako tukusaidiaje?tukikupa kusimama kwa chama dume kugombea urais mwisho ungepigiwa...
  2. M

    ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

    Ni chama cha ZITO hicho wala msiangaike kutaka kujua mwenye nacho.Kuanzisha chama si kazi ndogo...................,CDM haijaanza leo ivyo ACT inahitaji milongo 3 ili kuweza kujua ata kirefu chake. Zito wa mahakama amekalia kuti kavu na nje ya chadema ataanza moja!
  3. M

    Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    manyovu kasulu imechukuliwa na nccr......hujui matokeo yote ivyo vyema ukakaa kimya
  4. M

    Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    Mi nafikiri tunatakiwa kumpongeza mama salma kwa alichokifanya ila nachomlaumu ni kuwapeleka kwa kificho.......kwann ufiche maana kama ni swala la kutongozwa basi wangetongozwa ata huko mtaani ambako kuna watanzania wenzetu......kikubwa ni kuwa makini na mimi sidhan kama mwanafunzi wa chuo mbali...
  5. M

    Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

    kesi za uchaguzi zitapigwa danadana weeeeeee MPAKA BASIII maana wanajua uchaguzi wa jimbo lolote ukirudiwa CHADEMA HAWAKAWII KUMtUmBUKIZA slaa BUNGEN........BUNGE LA SAFARI HII NI TAMUUUUUU MPAKA BASIIIII MAANA KUNA VIJANA WAMEINGIA NDAN KWA KUPIGWAAAAA NA POLISI WEEEEEE MPAKA...
  6. M

    Kwa wana CHADEMA tu!

    Rev huitaji kufanya yote hayo ili upendwe........wananchi wameshakuona mda mrefu na wanakujua ulivyo ivyo subiri hatma yako.........inaweza kuwa nzuri au mbaya kutegemeana na unayoyafanya kila siku ukiwa uko.......Tenda mema nenda zako na bwana atakuongezea..........labda wachakachue maana...
  7. M

    Historia ya nchi yetu iliyofichwa

    Bado naangalia umuhimu wa kuwepo modulator katika mada zinazorushwa..............alikuwa amesinzia au?mada kama hiyo ningekuwa mimi modulator nisingeipost na ningemtumia reply kwenye email yake akajadili na mkewe au mmewe ndan......na sio watoto...!tunataka mawazo yenye kulijenga taifa na...
  8. M

    RAI ladai USA na EU zafadhili hoja ya KATIBA MPYA

    MKIWA MNACHEZA NA CCM AKILI LAZMA IWE INACHEZA MARA MBILI KILA WANAPOSEMA JAMBO ATA KAMA NI LA KHERI UJUE KUNA UJINGA NDANI YAKE...........SAWA KATIBA MPYA MAANA KILA MTU NDIO ANACHOKIONGELEA ATA KAMA HAIJUI ILIYOPITA........NAYATAFAKARI MANENO YA JK KWENYE HOTUBA YAKE YA KUFUNGA MWAKA AMBAYO...
  9. M

    Nani anayekabidhiwa fedha ya Dowans?

    TUNAHITAJI JESHI LIONGOZE HII NCHI.........:angry: WATU WANAOTAKA AMANI MATENDO YAO YATAKUWA YANAONYESHA KWELI NI WA AMAN........ ILA KUNA MTU ANAONGEA MDOMON TU ANATAKA AMAN LAKINAI VITENDO VINAONYESHA NI WA SHARI......CCM ANGALIEN MNAYOYAFANYA MAANA MWISHO JESHI LITACHUKUA MWELEKEO ATA KAMA...
  10. M

    Utata mtupu magari ya mawaziri: Nani alinunua?

    we jasusi kweli uko marekani.........ivi hujui kama kuwanunulia magari mawaziri ni tenda ya hao hao wakubwa katika kupeana 10%......watakwambia hii ni model sijui ya mbinguni na ndio maana bei iko juu.......itasaidia kwenda vijijini wakati wanaenda wakati wa uchaguzi........!lazma muweke cha juu...
  11. M

    GE2010 Matokeo sahihi ya uchaguzi mkuu Tanzania 2010

    jamani amejitahidi kutafuta data kueleza ukweli........mgonjwa nae mpeni heshima yake ......ana haki ya kutoa maoni mahala popote na wakati wowote! kama mnabisha mtayaona matokea mengine yanatolewana na mgonjwa mwingine mwakani december......wana haki ya kusikilizwa
  12. M

    GE2010 Kumbe kuna wabunge kumi wa chadema hawajatoka Bungeni Rais alipokua akihutubia bunge

    hamna wa chadema aliyebaki bungeni wakati rais anaongea......mimi nilikuwepo siku hiyo ndani na naomba tuufunge mjadala huu............! kama rashid hakughafilika kwenye matamshi yake basi alikuwa na nia ya kuupotosha umma!
  13. M

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Zito wa mwanzo sio wa sasa......nawaeleza iq ya zito ni kubwa kuliko mnavyofikiria na msidhani hajui anachofanya na impact yake ......he is the only target now by ccm party to get through chadema...........we know how to deal with him!
  14. M

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Nafurahi nikisoma comments za watu....nafarijika kwa maana ya kila mtu anaona zito wa sasa sio wa kipindi kile.........leo kwenye gazeti la majira zito amesema asingeweza kutoka nje wakati amir jeshi mkuu ambaye ameleta maendeleo makubwa kuliko rais yoyote yule kwenye jimbo lake...
  15. M

    Mbowe anashauriwa na nani?

    Huyo ***** hana evidence.......usiongee pumba.....nadhan mpaka sasa umeshajua kwann walitoka na matunda yake....!
Back
Top Bottom